Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

Wakuu:
Hii si kesi ya kuhofu kama mnavyo dhani. Katika hiyo mikataba hakuna kipengele cha udanganyifu (wizi) unao pelekea kukwepa kodi. Hiyo ni jinai Ab-initio. Mahakama gani inayo tetea wizi na kuipa haki ACACIA. Hapo ni wana sheria wetu ni kujipanga tu na ushahidi wa kisayansi upo. Sioni kama kuna substance hapo.
 
Unaona raha kushangilia upuuzi utafikiri wewe utafaidika na hiyo kesi huku dada zako na mama na baba yako anateseka bila dawa kwa wizi wa hao unaowashangilia jaribu kuwa mzalendo kidogo mwehu wewe
[quote uid=301985 name="Donald Lema" post=21333890]Taifa lenye watu wajing a kupindukia, kwani kesi ikifunguliwa ndio nini, inaonekana umefarijika mno moyoni, hili ni Taifa letu tunalo jivunia. Lisu ni Mtanzania, vita hii inamhusu yeye, Mimi, na tuipendao nchi yetu.[/QUOTE]<br />Msituingize kwenye wizi wenu.hili ni tatizo la CCM. Kila mtu aubebe msalaba wake wakati mnapiga meza kama mbweha bungeni mliwaona wapinzani wajinga.
 
Kama wanaenda Mahakamani na sisi tupeleke Mswada Bungeni fasta kwa hati ya dharura kubadili hizo sheria kandamizi. Kama mbwai ni mbwai.
Bahati mbaya mikataba tanzania iliyoridhia na hawa mabwana wa ACACIA inahusisha sheria ile ya mwanzo iliyotungwa na akina Mkapa na JK katika kuamua ama kutoa maamuzi ya kesi itakayofunguliwa. Kesi haiwezi kuamuliwa na sheria iliyotungwa baada ya kosa kutendeka. Hako tu kaelimu kadogo ukajue mdogo wangu. Hivyo hakuna msaada wa dharula unaoweza saidia hapo Mkuu.
 
Hapa hakuna habari yoyote. Mtendaji Mkuu wa Acacia anaishi huko huko London. Pili, Kamati ya Rais ni ya kisayansi siyo ya maridhiano. Atakayetaka kupinga ripoti yake itabidi abainishe mapungufu kwenye methodology, vifaa vya maaraba zilizotumika, professional competence ya wataalam, sampuli ya makinikia yaliyopimwa au disclaimer yoyote iliyotolewa na Acacia kabla ya kutuhumiwa. The rest is makinikia politics.
 
ivi akiitwa uko atasema hana muda pia ila serikali c ina hela itawahire wabasheria wakimataifa pia kama uhuruto walivyofanya
 
Lisu yupo atatetea Kwa maslahi ya taifa, isitoshe mikataba yote ya kitapeli Na kinyonyaji ambayo hai mnufaishi mwananchi kuna kipengele kinaruhusu kuvunja mkataba
 
Hatari sana hii..! Tusije lipishwa fidia hapa
Tulipishwe fidia tuu hata ya kiwango cha juu lakini ukweli ubaki pale pale mh. Dr. JPM kajitahidi kuthamini mali asili zeyltu. Wapinzani tushangilie lakini tukumbuke tuna vizazi vitakavyodumu mbaaaaaali sana baada ya sisi. Tutumie gharama kubwa kuivunja hii mikataba ili vizazi vyetu vipate kinachositahili.
Madini sio nyama kuwa ikikaa muda mlefu itaoza, vizazi vya wanetu vinayahitaji kuliko sisi
 
Huyo lissu aliwahi kusema hivi "kama ningesikilizwa tangu awali kuhusu mikataba yenye maslahi mapana kwa taifa kupitisha kwa hati za dharula tusingefikia hapa tulipofikia hivi sasa."
Iweje baada ya wabunge walio wengi kujitoa fahamu na kupitisha mambo ndiyo yanatugharimu sasa hivi ndiyo mnamuona wa maana.
Cha msingi, walioandaa mikataba hiyo na waliosaini ndiyo tuanze kushughulika nao kwanza.
Kaka una point. Wakegeukia kwa lissu hadhi itaporomoka. Lakin pia unaanzaje ku deal na walio sign maana na marais wastaaf wamo?
 
Hivi hasa ni nini cha kufurahia katika hili?...nchi yetu wenyewe .tumeibiwa sisi...halafu tunapelekwa mahakamani sisi...ni haki kweli?
Wakati mnagonga meza bungeni hamkulijua hili?? Jpm kajaribu hata akishindwa kwa hili machozi ya wa tz mtayabeba ccm. Mkapa na kikwete kwa hili mimi sitowasamehe
 
Kwa kutumia hii tume ya mihemko? Mnapokea ripoti kwa mbwembwe hadi wasanii. Mukule wenyewe tu. Kama uzalendo ni kutokuheshimu taratibu, sheria na mikataba, basi mie mnitoe kwenye uzalendo huo.

Hivi tunge/tukiwapa nchi si mtaiuza na kuclaim wananchi ni nyongeza! So sad.

Only in Tanzania watu wanaweka itikadi kwenye mambo ya kitaifa.
 
Aliyekosa uzalendo ni yule aliyeingia mikataba ya 3% mrahaba!

Nashukuru umeliweka vzr. Yaan kuna mtu akili yake ni kama ya mbuzi anawaza nyasi zinazomzunguka. Hafikirii mbali yeye, kama huyu jamaa anaona kuwa aliyesababisha hiyo 3% ndo mzalendo. Kwakwel kosa kitu kingine usikose maarifa. Na waliosababisha wapo na wanakula raha halaf wanaitwa wazalenndo. Kuko sa akili ndo kosa kubwa duniani
 
Back
Top Bottom