mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Acha tuburuzwe tu Mahakamani ndiyo tushike adabuACACIA ni vema wakatumia hekima, wasichukue uamuzi wa hasira. Waiombe serikali kufanyike uchunguzi huru kwa kutumia watu watakaokubalika na pande zote mbili, na maabara zitakazokubalika na pande zote mbili.
Kama serikali ikikataa, waiombe mahakama itoae amri ya kuundwa kamati huru ya uchunguzi.