Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,496
- 3,595
Ulishaolewa sasa unaanza kugoma kulala bila kivazi unategemea nn?Kama wanaenda Mahakamani na sisi tupeleke Mswada Bungeni fasta kwa hati ya dharura kubadili hizo sheria kandamizi. Kama mbwai ni mbwai.