Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

2. Wameiomba kama itakubali ifute ile hati ya DPP ya kufuta mashitaka, na ifute amri ya mahakama ya kufuta kesi iliyofanyika jana ,

Ni kifungu gani kitatumika na mahakama kufuta nolle prosequi?

Sidhani kama mahakama ina mamlaka ya kufuta nolle prosequi.

The power to enter nolle prosequi is not subject to any control by the courts.
 
quote_icon.png
By ZeMarcopolo
"Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!"

Unaelewa ulichoandika au umekurupuka tu ndotoni???
 
Anaelezea Lissu , juu ya mwenendo wa kesi ulivyoanza mahakamani , na ili kesi ya ugaidi iweze kufunguliwa ni lazima kuwa na ridhaa ya mkurugenzi wa mashitaka nchini , na ameonyesha kipande cha karatasi husika ambacho kina saini bila nembo ya serikali wala muhuri wa moto .
Kwa hawa wanasheria wa CHADEMA, hapo lazima ataaibika mtu.
 
CDM ngangari wala CCM hawaiwezi hata kidogo
Ukweli daima utasimama mwisho wa siku, kama serikali kwa makusudi kabisa wanaamua kutumia pesa za walipa kodi masikini wa Tanzania kwa kufungua kesi za kutunga kwa malengo ya kuiondoa Chadema kwenye ramani ya kisiasa, hakika watafutika wao, maana malipo ya dhambi wanayoitenda sasa ni makubwa sana na hawatakaa waisahau milele.

Tusubiri tuone, kwanza wameonesha ambavyo wasivyo makini kupitia wanasheria wao, hivyo mwisho wa siku huku kudharisha wanakofanikisha kwa Lwakatare as individual person na Chadema kwa kiwango fulani kwao itakuwa disearter very soon, tusubiri yetu macho, acha wanasheria watifuane na tuombe mahakama isimamie haki.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?

Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.

Jinsi vitanda vya hospitali vinavyo jaa akina mama wakienda kujifungua ,siajabu uliangushwa kichwa chini zikavurugika kidogo siamini unasema hivyo kama zinakuruhusu kichwani
 
Kuna jambo ambalo pia chadema wanatakiwa kuliangalia kwa jicho la tatu.
Kinana na Mangula wazee wenye fikra mgando za ccm chama dola wamerudishwa kazini.
Hawa watu ndio waliokuwa ndani ya system iliyomuua H. Kolimba bila kufanyika uchunguzi wa aina yeyote. Tena ndio waliokuwepo kipindi cha mauaji ya Kombe bila kusahau mauaji ya pemba.
Chadema kama chama pamoja na kuchukua tahadhari zote pigeni mbiu kwa watu wa kizazi hiki kipya cha ukombozi ili kiwe na uelewa na ufahamu wa uwepo wa hawa mharamia wa kale katika kizazi hiki kipya.
.
 
Ni kifungu gani kitatumika na mahakama kufuta nolle prosequi?

Sidhani kama mahakama ina mamlaka ya kufuta nolle prosequi.

The power to enter nolle prosequi is not subject to any control by the courts.
Mkuu EMT, hiyo kitu naona uko nayo tangu jana. Ni nini hiyo?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni kifungu gani kitatumika na mahakama kufuta nolle prosequi?

Sidhani kama mahakama ina mamlaka ya kufuta nolle prosequi.

The power to enter nolle prosequi is not subject to any control by the courts.

Amezungumzia hukumu iliyowahi kutolewa na mahakama ya rufaa juu ya matumizi ya Nolle na mamlaka ya mahakama kukataa matumizi ya Nolle .....ngoja nifuatilie ntakujibu vizuri zaidi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kama ng'ombe uliye naye ni mmoja; unaweza ukampeleka unakotaka kwa kumkokota kwa kamba, ama ukaamua kumswaga bila kumfunga kamba na ukamfikisha unakotaka.

Hii hali ya kushangilia na kufurahia masahibu yanayomkumba mwenzako ama kuamua kumjengea mazingira ya kumuangamiza kwa kutumia ofisi, madraka ama mamlaka uliyopewa na umma kwa vile ni wa dini fulani, kabila fulani ama chama fulani itatupeleka wapi na inaleta faida gani kwa taifa letu. Hakika siku ya kiama yaja na tutaishia kwenye jehanamu ya moto.

Watanzania kwa jumla wetu lazima tufike mahali tutambue ni wapi tunakoipeleka hii nchi yetu bila kujali itikadi zetu, dini, rangi wala kabila.
 
Mkuu EMT, hiyo kitu naona uko nayo tangu jana. Ni nini hiyo?

Ni mamlaka ya kisheria aliyonayo mwendesha mashataka ambapo anaweza kuondoa kesi mahakamani wakati wowote akitaka na bila sababu yoyote au kuulizwa lakini kabla ya hukumu.
 
Kama ng'ombe uliye naye ni mmoja; unaweza ukampeleka unakotaka kwa kumkokota kwa kamba, ama ukaamua kumswaga bila kumfunga kamba na ukamfikisha unakotaka.

Hii hali ya kushangilia na kufurahia masahibu yanayomkumba mwenzako ama kuamua kumjengea mazingira ya kumuangamiza kwa kutumia ofisi, madraka ama mamlaka uliyopewa na umma kwa vile ni wa dini fulani, kabila fulani ama chama fulani itatupeleka wapi na inaleta faida gani kwa taifa letu. Hakika siku ya kiama yaja na tutaishia kwenye jehanamu ya moto.

Watanzania kwa jumla wetu lazima tufike mahali tutambue ni wapi tunakoipeleka hii nchi yetu bila kujali itikadi zetu, dini, rangi wala kabila.
 
Amezungumzia hukumu iliyowahi kutolewa na mahakama ya rufaa juu ya matumizi ya Nolle na mamlaka ya mahakama kukataa matumizi ya Nolle .....ngoja nifuatilie ntakujibu vizuri zaidi

Asante. Ningependa kuipata hiyo kesi Mkuu.

This is very important.
 
Amezungumzia hukumu iliyowahi kutolewa na mahakama ya rufaa juu ya matumizi ya Nolle na mamlaka ya mahakama kukataa matumizi ya Nolle .....ngoja nifuatilie ntakujibu vizuri zaidi

mkumbuke kuiweka hapa hiyo press conf yote. Kama video
 
Mahakama jana ilizuiliwa kutoa haki, wakati ndio chombo pekee cha kutoa haki nchini....

sina imani kama kweli kwa hali ya Tz mahakamani ni sehemu ya kupatia haki kwa mwenendo wa mambo sasa yanavyokwenda kisiasa, yani kila kitu ni siasa
 
Sidhani kama mahakama ni mhimili unaojitegemea kama bunge na executive!
Katiba mpya kuna haja ya kuyafanyia kazi haya mapungufu.
Maana mahakama inaendeshwa kama gari bovu!
 
Back
Top Bottom