Inaweza kuwa Zitto piaKuna siku niliwahi kuandika humu tusishangae 2015 mgombea uraisi wa CCM akawa Prof Ibrahimu Lipumba... watu waliniona kama naota.., actually hata mimi sijui kwa nini nawaza hivyo...
Wasi wasi wangu ni kwamba kama CHADEMA itaingia ikulu hivi ilivyo, nchi itakuwa ni vurugu tupu na nchi inaweza kuyumba.Huko nyuma ktk moja ya mada zangu JF nilieleza habari nilizoelezwa na mtonyaji wangu Serikalini kwamba kuna mipango mibaya ya kuihujuma chadema ili kuithibiti kabla ya 2015
Nilielezwa kwamba serikali ya JK imepewa kuchagua jambo moja kati ya options 3 kuhusu Chadema ambayo ni;
1) awe tayari kuwapa nchi 2015
2)aisambaratishe Chadema sasa kabla ya 2015 au
3)waibatize ccm kiwe chama kipya kimya kimya ili iendeleze sera za ccm.
Swali ni Je, watafanikiwa kuizuia Chadema kuingia Ikulu 2015. Jibu langu ni Hapana – hawataweza. LET US WAIT AND SEE.
Kama ni hivyo basi kwanini M4C wanazunguka huko vijijini kuelimisha/kukampeni. CDM imeshaona kuwa kipigo kitatokea vijijini na ndio sababu za harakati zote hizi. Tatizo lenu nyie mtu akisema kijijini mnafikiri anamaanisha kigamboni.Mkuu majebere acha kujidanganya yawezekana hujaenda kijijini kwenu siku nyingi hali huko
ni mbaya,ccm ilitegemea wazee na wanawake,kwa ttarifa yako wazee wengi wamekufa na
wanawake wanawafuata waume zao si unajua vijini wanwake no say kwa waume zao.
mkuu Mikael P Aweda ; kuhusu hili la CCM kubadilika; si rahisi na mimi naweza kusema ni kitu kisichowezekana lakini Hili la CHADEMA kuhujumiwa ni jambo linalowezekana sana maana kwa sasa CCM wamewekeza kwenye kufanya "Nasty politics".
Pia inabidi viongozi na wanachadema kwa ujumla kuwa makini kweli kwa sababu hujuma hizo zinaweza kuratibiwa kwa utaalam mkubwa kweli.
Inaweza kuwa Zitto pia
Hapo umenena, na hili ndio jambo wanalo litazama wapiga kura, watu wanaona bora kuwa na serikali uharo kuliko kutokuwa na serikali kabisa. Mzee sitta hakukosea kusema CDM haina kiongozi, wao wenyewe wanalijua hilo. Tuchuke mfano Dr.Slaa, anasifa gani ya kuwa Rais wa hii nchi? watakuja watu humu na kusema kwani JK alikua na sifa gani? Na mimi nawajibu kuwa je tuko tayari kufanya test tena?Wasi wasi wangu ni kwamba kama CHADEMA itaingia ikulu hivi ilivyo, nchi itakuwa ni vurugu tupu na nchi inaweza kuyumba.
Kwanini nasema hivi:
1) Chadema kama taasisi haina uongozi imara ndani yake.
Bado viongozi wake hawajajuwana vizuri na hivyo kukosa kutokuaminiana.
Mfano, Naibu katibu mkuu wenu mnamhisi ni pandikizi, Makamo mwenye kiti, yule DR mwingine maarufu Kitila mlishawahi
kumuhusisha na masalia, baadhi ya wabunge mnawatuhumu kuwa wanahujumu chama n.k. In short kuna major reforms inabidi zitoke ndani ya CDM yenyewe kabala ya kuchukua nchi.
2) Idadi ndogo ya wabunge ambayo ikibaki hivi ilivyo CCM wanaweza kuiyumbisha serikali yenu kwa vile hakuna maamuzi ambayo mnaweza kuyapitisha bila ya kuwa na theluthi mbili ya wabunge.
3) Ushirikiano mbaya na vyama vingine vya upinzani, Hili linaweza kuwa pigo kwa vile CDM inajitengenezea maadui wengi na hivyo kukosa support ya vyama vingine vya upinzani.
4) Mfumo inaoutumia CHADEMA katika kudai haki ikwemo maandamano na kupiga makelele. Hii inaweza kuwa cost kama baadhi ya ahadi mlizoziahidi hamtaweza kuzitekeleza.
Nchi itashuhudia historia ya migomo na maandamano isiyokwisha hasa pale ambapo:
a) Maji yaacha kutoka baada ya CDM kuingia madarakani
b) Umeme ukikatika kama ilivyo sasa
c) Mishahara ya watumishi wa serikali isipoongezwa kutokana na matakwa ya watumishi hao
Yaani kwa kifupi inabidi mjirekebishe sana ili angalau 2015 muoneshe sura ya umoja na ukomavui.
Wasi wasi wangu ni kwamba kama CHADEMA itaingia ikulu hivi ilivyo, nchi itakuwa ni vurugu tupu na nchi inaweza kuyumba.

Hapo umenena, na hili ndio jambo wanalo litazama wapiga kura, watu wanaona bora kuwa na serikali uharo kuliko kutokuwa na serikali kabisa. Mzee sitta hakukosea kusema CDM haina kiongozi, wao wenyewe wanalijua hilo. Tuchuke mfano Dr.Slaa, anasifa gani ya kuwa Rais wa hii nchi? watakuja watu humu na kusema kwani JK alikua na sifa gani? Na mimi nawajibu kuwa je tuko tayari kufanya test tena?

Kama ni hivyo basi kwanini M4C wanazunguka huko vijijini kuelimisha/kukampeni. CDM imeshaona kuwa kipigo kitatokea vijijini na ndio sababu za harakati zote hizi. Tatizo lenu nyie mtu akisema kijijini mnafikiri anamaanisha kigamboni.
Breaking News:CCM kuwa TANU!