Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

Tatizo lenu mnajipa imani kubwa kushika Dola 2015, CDM kweli imepata nguvu lakini bado haikubaliki kama mnavyo taka kuaminisha watanzania. Hizi mbinu tunazo ziona ni maigizo yenu wenyewe ili kuonyesha umma kuwa CCM inataka kuwamaliza kwa sababu CDM ndio chama mbadala. Kundi linalo washabikia ni vijana wafata mkumbo na wengi wao sio wapiga kura bali ni wapiga kelele tu.
CCM itafika wakati itang'oka lakini sio leo wala kesho, na wala haitakuja kutolewa na CDM. Wapiga kura bado hawajaona chama mbadala na hawako tayari kuwakabidhi Nchi nyinyi wakati hata chama kinawashinda kukiendesha.

Mngelijua hilo wasingekaa vikao vya siri kutuhujumu, obviously mtatoka ttu sio hiari NI LAZIMA KAMA VILE MTU KUFA. Msitegemee Usalama wa Taifa kwamba utawabeba, umma wa watz ni kila kitu nakuuliza mtaua waandishi wa habari wangapi, mtazuia mada zetu bungeni mara ngapi? mtazuia maandamano yetu mara ngapi? mtafungia magazeti yanayosema kweli mara ngapi. Mtatengeneza video za kutuchafua mara ngapi? Mtanunua viongozi wasaliti kama Shibuda wangapi??? SAA YA UKOMBOZI NI SASA. Jiandaeni kukimbia nchi kwa udhalimu mlioufanya. Mungu yuko upande wetu tumuogope nani? CCM ni sawa na shetani wafuasi wake ni kimna nani?
 
Hayo mambo 5 yanathibitisha kwamba kuna jitihada za kuisambaratisha Chadema.

Unganisha na kauli za mara kwa mara za Nape kuwa CCM itatawala milele na ile ya Wasira kuwa CDM itakufa ndani ya mwaka mmoja. Wanapata wapi jeuri ya kutamka hivyo kama hakuna wanalolifanya ili kuua CDM? Kama wanajiamini kuna haja gani ya kutamka badala ya kukiacha kijifie au kiendelee kuwepo wakijua hakitashinda? Anayekutabiria kifo maana yake hapendi Uishi.
 
Tatizo lenu mnajipa imani kubwa kushika Dola 2015, CDM kweli imepata nguvu lakini bado haikubaliki kama mnavyo taka kuaminisha watanzania. Hizi mbinu tunazo ziona ni maigizo yenu wenyewe ili kuonyesha umma kuwa CCM inataka kuwamaliza kwa sababu CDM ndio chama mbadala. Kundi linalo washabikia ni vijana wafata mkumbo na wengi wao sio wapiga kura bali ni wapiga kelele tu.
CCM itafika wakati itang'oka lakini sio leo wala kesho, na wala haitakuja kutolewa na CDM. Wapiga kura bado hawajaona chama mbadala na hawako tayari kuwakabidhi Nchi nyinyi wakati hata chama kinawashinda kukiendesha.
majebere? Yamekuwa hayo tena! nani kakwambia kuwa ni maigizo na si njama au mikakati ya CDM kudhuru watu.
Njia ya mwongo ni fupi. Mwisho mtasema ni zecomed walikuwa wanaigiza.
 
Last edited by a moderator:
Che Che Me, haitafanikiwa. Actually kitakachoingoa Che Che Me siyo nguvu ya CHADEMA ni nguvu ya wananchi. Umma umeishaikataa Che Che Me; hatawafanye vipi, mwisho wao umefika.

Quality
 
CCM kwishaaa! hawana tena wataalamu wa mikakati ya kuwafanya waendelee kutawala, walizoea kutumia kanda za vita na Amani ya Tanzania, nawashangaa wanaosema CDM ni vijana fuata mkumbo, mimi ni mtu ninayekaa muda mwingi vijijini ninakuambia Ccm ina hali mbaya, kuna vijana wengi waliokata tamaa wanatamani uchaguzi ufanyike hata kesho wamalize kazi. Ninawashangaa kuendelea kuteka watu badala ya kutimiza ahadi walizotoa.
 
Tatizo lenu mnajipa imani kubwa kushika Dola 2015, CDM kweli imepata nguvu lakini bado haikubaliki kama mnavyo taka kuaminisha watanzania. Hizi mbinu tunazo ziona ni maigizo yenu wenyewe ili kuonyesha umma kuwa CCM inataka kuwamaliza kwa sababu CDM ndio chama mbadala. Kundi linalo washabikia ni vijana wafata mkumbo na wengi wao sio wapiga kura bali ni wapiga kelele tu.
CCM itafika wakati itang'oka lakini sio leo wala kesho, na wala haitakuja kutolewa na CDM. Wapiga kura bado hawajaona chama mbadala na hawako tayari kuwakabidhi Nchi nyinyi wakati hata chama kinawashinda kukiendesha.
hayo ni maono yako!!unaogopa CDM IKISHIKA DOLA UTALALA NJAA WEWE pamoja na FAMILIA YAKO..Usitake ncheke!!!!
 
Kuna uzi kama sijakosea humu jf au twitter ambao uliandikwa na kuwa posted na mtu anayejitambulisha kama Balali akiongelea mipango kama hii kabla ya yeye kurejea! Inaweza kuwa ndio yanatimia nikiunganisha na uzi huu!
 
Mkuu,
Ungetuandikia kwa kirefu kidogo au ucopy na kupaste ili wadau wote wajue sawia.
 
mungu wa utekaji, mashetani wakubwa cdm
Endeleea tu kulia kilio cha PUNDA midomo juu! Kuua kutesa ufanye weye usingizie wenzio!!
Maembe yuko CDM?
Ighondu yuko CDM?
Zoka yuko CDM
Yule polisi aliyemlipua Mwangosi yuko CDM.
Masaburi yamewawasha na kuchemka baada mashtaka yenu kufika HAGUE! hata kubumba uongo ni kupaparika hamna pa kushika HIKI NI KIFO CHA NYANI Miti yote imepakwa Samli ya ng'ombe!
 
Ndugu yangu ya kijijini ndio acha kabisa, usione watu wamejazana ukafikiri ni wapenzi wa chama, hao wanakuja kushangalia helkopta. Ni rahisi sana kubadili mawazo ya watu wanao ishi mjini lakini wa kijijini sio rahisi. Bila shaka wewe huna ndugu kijijini ndio maana unasema haya. Watanzania bado wanachagua mtu kutokana wanavyo shauriwa na mwenyekiti wa kijiji. Usimshangae mbunge wa ccm anae wapigia magoti wapiga kura ndugu yangu, hayo ndio mambo yanayo takiwa kijijini.

Ule uchaguzi wa viongozi wa vijiji kule bukoba ni kiongozi gani wa CDM alikwenda na helkopta!?
 
tatizo lenu mnajipa imani kubwa kushika dola 2015, cdm kweli imepata nguvu lakini bado haikubaliki kama mnavyo taka kuaminisha watanzania. Hizi mbinu tunazo ziona ni maigizo yenu wenyewe ili kuonyesha umma kuwa ccm inataka kuwamaliza kwa sababu cdm ndio chama mbadala. Kundi linalo washabikia ni vijana wafata mkumbo na wengi wao sio wapiga kura bali ni wapiga kelele tu.
Ccm itafika wakati itang'oka lakini sio leo wala kesho, na wala haitakuja kutolewa na cdm. Wapiga kura bado hawajaona chama mbadala na hawako tayari kuwakabidhi nchi nyinyi wakati hata chama kinawashinda kukiendesha.

majebele hata kama cdm wameplot kama unavyodai lakini mimi napata taabu juu ya utimamu wako kuiunga mkono ccm bila shaka ubongo wako umechanganyika na nyaaa
 
310300829.jpg
 
Back
Top Bottom