Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

sijui kwanini siku zinavyoenda nazidi kumpenda pombe hivi!!makuchukia waroho wa madaraka
 
Hakusikiliza ushauri wa babalao kuwa chama kime graduate kutoka kwenye uharakati kwenda chama cha siasa...Lema ni toto tototundu, tukutu
 
Wewe ni nani mpaka unamtuhunu hivyo mmiliki halali wa chama cha chadema? Hujui kuwa hata Lema mwenye anaweza kuondolewa hapo chadema Lowassa akiamua?
 
Lowassa na Lema hawajawahi kuwa maswahiba tangu ule uchaguzi wa Arumeru wa "ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea...".
Hata kampeni za 2015 zilipita kwa shida sana kati ya hawa mabwana mawili.
Tangu hapo sijawahi sikia wakipena maneno yeyote ya furaha...

Sasa haiwezekani kuwa na wanasiasa wa aina hii huko Chadema.
 
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mala tatu wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.

Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya,Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.

Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.

Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.

Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.

Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .

Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuamia Chadema.

mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakin Cheyo na wenzie .

Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.

Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.

Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...

Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.

Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.

Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .

Mkuu Technically, napenda mtindo wako wa uwasilishaji mada motomoto lakini mara zote zenye sura mbalimbali.

Big Up!
 
Nadhani mods wampime mtoa mada kwa kipimo kilekile wanachotumia pale wanapokashifiwa walioko madarakani,
Mleta mada aondoe maneno ya kashfa kwenye mada yake au apigwe ban
Hahahahaha..... Hivi Lowassa kawapa nini ninyi viumbe?
 
Lowasa ajawai mtukana mtu lema anafanya siasa za kitoto ivyo kipenzi cha watu lowasa awezi mtetea mtu anaye tukana viongozi
 
Chakushangaza kipindi cha kampeni haohao ndio wanamzungusha kwenye majimbo so kumuombea kura na bado wanamsafisha kwa gharama yoyote
 
Lema wamemuweka ndani ili kumkomoa! Kina Mbowe,Lowassa na Lissu wakienda kumuona kwa Bashasha na Mbwembwe watesi wake watataka kuendelea kuionyesha Dunia jinsi walivyo Miungu! Na ndo maana CDM top layer wamekaa kimya! Huu mchezo ni simple tu,fi yah know dih rule of dih game Rasta
 
Unamaana hata Sanane ameponzwa na siasa za mtandaoni!
As nonsense as usual
Hivi kutomtembelea ndio anakuwa na "gundu na mbinafsi"? Unataka Lowassa aishi kwa remote yako.....?
Mkuu kuwa na nidham, alaf siasa za keyboard uzifanye kistaarabu.... Kujitoa ufaham kumewaumiza wengi, if at all politics is your career....
 
Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.
.
Lowasa alishawasoma akina Lema and company akawaona mburula tu.

Waone mwanzoni walivyokuwa wakijifanya wapinga ufisadi angalia nyuso zao zinaonyesha utapeli mtupu haihitaji mtaalamu wa saikolojia kuwajua hao matapeli akiwemo Lema mwenyewe.Unataka lowasa aende kuliona tapeli kisongo?
 
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mala tatu wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.

Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya,Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.

Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.

Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.

Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.

Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .

Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuamia Chadema.

mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakin Cheyo na wenzie .

Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.

Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.

Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...

Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.

Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.

Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .
Lema yupo mahali panapostahili.......

Haina haja ya kuonwa
 
Najua mleta mada humpendi Lowassa lakini hili la kutomtembelea Lema yeye na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwamo na wabunge wa chama kwakweli ni kosa kubwa sana kwao.

Inasikitisha kuona ni Zitto,Sheikh Ponda, Salum Mwalimu na watu wengine wachache ndio wameenda kumjulia hali Lema huko gerezani Kisongo.

Eleweni Leo ni Lema kesho ni nyinyi unless mtakaa kimya mpaka 2020.

Niwatahadhirishe tu siku mkilalamika Lema kuwekwa ndani, CCM watawabeza/watawahoji kama mna uchungu na Lema mbona hata gerezani hamkwenda kumtembelea?

Watu kama kina Kibajaji hawawezi kushindwa kusema maneno haya ndani ya Bunge iwapo swala hili mtaliongelea Bungeni na hata kwenye majukwaa ya kisiasa.Kwa hili lazima watubeza tu.
Mshaurini Lema amuombe msamaha Lowassa kwanza
 
Back
Top Bottom