technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,505
- 51,017
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mara moja!! Wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.
Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya, Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.
Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.
Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.
Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.
Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.
Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .
Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuhamia Chadema.
mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakina Cheyo na wenzie .
Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.
Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.
Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...
Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.
Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.
Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .