Sakata la Kuulipua Ubalozi wa Marekani Wanafunzi 8 Wakamatwa, Ubalozi Watoa Taarifa

Sredi imegeuka ya dini?
Najiuliza:
1. Why should a 15 years old kid attempt such a thing? Mob psychology? Coz if he had backup angeweza kuwa na technology ambayo iko mbele kidogo. Haelewi alichofundishwa/mafundisho potofu? Au anatafuta umaarufu?
2. Ubalozi unaona aibu ku-admitt walinzi wao kulala ili tusije-attempt kwenda kubaka viza usiku??

Haya endeleeni Allah na mitume gani sijui....
 
Sredi imegeuka ya dini?
Najiuliza:
1. Why should a 15 years old kid attempt such a thing? Mob psychology? Coz if he had backup angeweza kuwa na technology ambayo iko mbele kidogo. Haelewi alichofundishwa/mafundisho potofu? Au anatafuta umaarufu?
2. Ubalozi unaona aibu ku-admitt walinzi wao kulala ili tusije-attempt kwenda kubaka viza usiku??

Haya endeleeni Allah na mitume gani sijui....
mkuu wewe umeniacha wazi kidogo...hapo kwa ekundu nimechekA ACHA..SI NENO GENI WALA JIPYA KWANGU BUT LIMENICHEKESHA TU LILIVYOTUMIKA,KUBAKA NANYOJUA HUTOKEA SOMETIMES MSICHANA AKIWA AMELALA USINGIZI SO WALINZI WAKILALA TU VISA TO USA INABAKWA DUH....
 
Unakumbuka ile story iliyo kua ina wekwa kule kwa vijiwe vya waislamu feki (wale waovu) wanao potosha dini, siku moja kwenye TV , niliona mtoto mmoja wa miaka kama 9 , ana hadithia hadithi kwnye kipindi cha watoto, akawa ana sema , huko Mbinguni kuna saa ya ukutani, sasa ikaonyeshwa saa ya Bin ladin, eyi kiawa haizunguki, ila ilipo onyeshwa ya George Bush , ikawa ina zunguka kwa speed ya juu, ikiwa ina maan kuwa Bush ana dhambi nyingi na ndio mana saa yake ina zunguka kwa speed, sasa mtoto kama huyo mwnye imani hiyo hawezi vaa bomu na kujilipua au kulipua sehemu yeyote kwachuki aliyo jengewa?
 
Hili jamvi halina uvumilivu na kusemwa vibaya Marekani.Lakini ndugu zangu tuwe na ushujaa wa kusema na kukubali ukweli.Marekani kwa hadithi zake nyingi za mabomu yaliyoikosakosa inatia aibu.Mara kiatu,mara sigara.Leo chupa ya mafuta ya taa!.
Mara Umar Abdul Aziz mara Nassib Zhuher.
Kama kweli Nassib alitaka kuuripua ubalozi kwanini aende na mafuta ya taa,na kwa nini azitupe chini ya lori la maji!,si afadhali chini ya lori la petroli!.
Familia iliyosafiri na Umar Abdulaziz ikitokea Uganda ililibeza sana shambulio lile na kutoa ushahidi wa kutosha kwamba ilikuwa ni mchezo wa kuigiza.Ushadidi wao uliwatikisa wasukaji wa mpango ule uliokuwa na lengo la kupeleka jeshi Yemen. Pamoja na uroho wa madaraka Yemen waligundua na walikataa.
Kila ushahidi ulipotolewa walibadili maneno kuficha kasoro.Moja ya ushahidi wa familia ile ni kuwa Umar alipopanda kwenye ndege alikabidhiwa kifurushi na mtu aliyevalia suti na bila kukaguliwa dakika za mwisho.Walipoteremka kulikuwa na mtu maalum aliyevalia nguo rangi ya machungwa kumpokea.
Leo tena tunaambiwa katika bomu hili la mafuta ya taa na gari la maji polisi walifika sekunde chache na wala si dakika chache .Polisi walikuwa wapi wakisubiri kumkamata Nassib?.
........................................................................................................................
TAARIFA YA UBALOZI WA MAREKANI DAR

-----------------

Siku ya Jumapili, tarehe 16 Mei, mnamo saa 2.30 usiku, mvulana mwenye umri wa miaka 15 alikimbia na kumpita mlinzi aliyekuwa mbele ya Ubalozi wa Marekani, akawasha moto kwenye chupa iliyokuwa na mafuta ya taa na kisha kuirusha chini ya moja ya malori mawili ya kubebea maji yaliyokuwa yameegeshwa nje ya ukuta wa Ubalozi.

Chupa hiyo ilivunjika lakini haikuweza kulipua moto. Walinzi wa Kampuni ya KK wanaolinda ubalozini hapo walimkamata mara moja kijana huyo kabla hajaweza kurusha chupa ya pili.

Hakukuwa na mtu yeyote aliyejeruhiwa wala mali yoyote iliyoharibiwa katika tukio hilo. Askari wa Jeshi la Polisi la Tanzania aliwasili sehemu ya tukio sekunde chache baadaye na kumkamata mtuhumiwa. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.

Baadhi ya maelezo yanayotolewa kuhusu tukio hili si sahihi, yamekuzwa na kutiwa chumvi mno na yasiyo ya kweli, yakidai kuwa mvulana huyo aliingia ndani ya ubalozi. Hii si kweli. Hakukuwa na mtu yeyote aliyeweza kuingia ndani ya Ubalozi wa Marekani.

Taratibu zetu za kiusalama za kuzuia wahalifu kuingia ubalozini zilidhihirisha ufanisi wake hapo Mei 16.

Walinzi wa kampuni ya KK na Polisi wa Tanzania walishughulikia suala hili kwa weledi mkubwa. Tunawashukuru sana.


NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
 
"The Akum (non-Jew) is like a dog. Yes, the scripture teaches to honor the the dog more than the non-Jew." Ereget Raschi Erod. 22 30

yaani hapo ndio umeeleweka????chaaaa baki na matalmud yako...sie unatukata stimu tu humu....:painkiller:
 
Back
Top Bottom