Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
USAHIHI: Kuhusu Ukatibu Mkuu: Chadema ni Tasisi na Tasisi inaendeshwa kwa Sheria na Katiba na katika mamuzi yote ya Chama yanaongozwa na sheria na Katiba na kila jambo lina mamlaka yake mahususi ya kushugulikia kwa mujibu wa Taratibu za Chama ni vema tuachie taratibu zote za kikatiba kushugulikia swala la katibu mkuu na tuamini mamlaka usika tulizoziweka kikatiba Asanteni sana. Chadema Kwanza