Cdm siyo uozo wenu ccm,cdm ni taasisi inayokubalika bila kutumia mizinga na vifaru
Unajitutumua tu! CDM inasubiri mazishi tu, CDM haifikii nukta ya chama cha ukombozi
Cdm siyo uozo wenu ccm,cdm ni taasisi inayokubalika bila kutumia mizinga na vifaru
Unajitutumua tu! CDM inasubiri mazishi tu, CDM haifikii nukta ya chama cha ukombozi
Ccm isha jifia na sasa inategemea nguvu za dola
Wewe ni kati wa wadeki barabara ila sasa umekimbia kusaidia kuchunga Ng'ombe monduli.
Mleta mada ukanda hautakisaidia chama chako CHADEMA wala watanzania. Anayetafutwa ni katibu mkuu wa chama atakayekidhi sifa na vigezo vya nafasi hiyo.
kwani nani kasema sumaye atakuwa katibu mkuu.
Acheni uquma
Manyumbu wa CCM on work, kama ni kamanda basi wamesikia uongozi wa juu
Zote ni kazi ili mradi siyo kibaka kama wewe
Sumaye ni Jipu tu;inatakiwa Rais Dr.Magufuli alitumbue
Yeye anauliza lazima atoke kaskazini? Kanda zingine hawapo?
kwa hiyo umefikiriaaaa... hiki ndo ulichoweza kutoa... very sad.