Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

Busara zinatakiwa ktk kipindi hiki,Nashauri Maoni ya wanachama yazingatiwe,Chama kiachane na Decree za Mwenyekiti katika kuliendea hili.
 
Hii Habari( copy na paste)

iko kwenye Mitandao mpaka Facebook inasambaswa Na Act wa Mwalim Mwaijage !?

Tokea lini Act /ccm wakaipenda chadema ??
 
Katibu Mkuu atoke kokote kule.Tuwache ufinyu wa Mawazo.Hata ikibidi Kaskazini ...kwani Kaskazini ni Jehanamu.Na anaye sema Katibu Mkuu sijui mpaka ajue sijui kanuni za chama sijui afanye nii...Hivi anaelewa kazi ya Katibu Mkuu kweli....Hatuhitaji mtu wa siku nyingi katika chama au Mtu Mgeni ...hizi siyo sifa za Katibu Mkuu ..Tunahitaji mtu anaye jitambua na kutambua maana ya mABADILIKO NA kIU YA WATANZANIA YA KUYATAFUTA MABADILIKO.
Kuhusu wapi anatoka siyo tija na kama ni kukwazika tu kwa sbabu ya anakotoka Katibu Mkuu hakika hautakuwa Mwanansiasa mpenda mabadiliko ...mabadiliko ni mimi na wewe .Tatizo sehemu nyingi tunapo chagua viongozi wa chama tunafanya chaguzi ilimradi na munodhani muuna uwezo au kuwa na uwezo awashawishiwi kugombea inafika unakuta hata wajumbe wetu wengi wanaotuwakilisha vikao vya juu kutoka katika kanda zingine kiuwezo wanapungukiwa ...sasa mtu hawezi kuchaguliwa tu ilikukidhi matakwa ya Kijografia....Hili litakuwa jambo baya kabisa kuliko l;a wizi wa kura za Urais tulilofanyiwa Mwaka huu
 
Ccm bana na fitina za kizamani, hizo zama ndo goodbayi, anzeni kujenga chama chenu upya
 
Mkuu utapoteza muda wako bure kubishana na Mmawia....he's irrational thinker.....and and automatically he's statue of the way many youth fans of cdm thinks without using brain.

Na na
 
Last edited by a moderator:
Ccm bana na fitina za kizamani, hizo zama ndo goodbayi, anzeni kujenga chama chenu upya

Kweli Mkuu na 2020 tunamchomoa mwingine tunampa Mwakembe apambane na Magufuli uone Ukawa hatuja chukua Nchi sambili asubui..
 
Hii Habari( copy na paste)

iko kwenye Mitandao mpaka Facebook inasambaswa Na Act wa Mwalim Mwaijage !?

Tokea lini Act /ccm wakaipenda chadema ??

Act wana weweseka na hiyo ni baada ya kuambulia mbunge mmoja kama taa ya treni inayo kwenda kwao kigoma na bado wataendelea kufanya kampeini kwenye mitandao wakati cdm ndio hiyooo matawi ya juu na hakuna kulala mpaka kieleweke
 

Attachments

  • 1451123163714.jpg
    1451123163714.jpg
    16.4 KB · Views: 326
vipi nafasi ya Mbowe ikichukuliwa na hao uliowataja?

kama Mwalim hana uzoefu.. basi Sumaye hana hata haja ya kujadiliwa.

Mwanzoni nilitaman kuwa mwanachadema ila baada ya kuona siasa ni siasa tu.. nimekaa pembeni.. anaefanya vema nampa hongera zake.. anaevuruga sioni haya kumkosoa.. ufia chama nimeacha.
kwani nani kasema sumaye atakuwa katibu mkuu.

Acheni uquma
 
kwakweli sumae hatumtaki ni kigeugeu...hana tofauti na kubeneya...

wale wote waliokuja na luwasa hatuwataki na sisi redbriged hatutakubal kuletewa viongozi tena...unyumbu sasa basi
 
Sumaye Jina Lake halifai kutokeza katika nafasi ya katibu Mkuu tujiulize tunamuamini kwa lipi? Mtu aliyekuja juzi tu Leo tunataka kumpa nafasi kubwa ya maamuzi ni upuuzi sana. Yaani tunajisahau kuwa CCM Wana mbinu nyingi sana wanaweza wakawa wametuiingizia pandikizi la kuja kutumaliza Sisi tunachekelea na kumkumbatia na kuona ufahari yeye kuwa katibu Mkuu wakati tuna watu wengi wenye sifa ya kushika nafasi hiyo wanachadema haswa...

Nyumbu kwa usahaulifu! na huyo anayechunga ng'ombe mlimpa nafasi ipi ndani ya CDM
 
Awa chadema kwani wameshindwa kumlipa Babu Duni huo mshahara wa milioni 15 kama sharti la kukubali Ukatibu?
 
Back
Top Bottom