Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

Wewe ni sawa na bundi ndani ya ccm, alisema maneno hayo wasira na mangiri mkakenua meno kwa cdm ingekufa kabla ya 2013 lkn leo cdm inazidi kushine na hiyo hiyo cdm ndio mbunge wake kamg'oa huyo wasira

Mkuu labda hunifaham vzr embu fatilia vizur post zangu za kale humu jf- mi sio nyumbu kama wewe
 
sisi wale. vita vyote duniani vimesababishwa na sisi wale, cha muhimu ni kiongozi anaeweza na kutokuwapa ccm lakusema
 
Sumaye anatosha maana alikuwa waziri mkuu na amekomaa kisiasa.

Chama atakijua mbele kwa mbele ,Mbowe wala usirogwe kuingia kwenye mtego wa kuweka Kibaraka toka kanda ya Ziwa,watakuwa contained na ccm na wataisaliti chadema katikati ya mapambano
 
Mkuu labda hunifaham vzr embu fatilia vizur post zangu za kale humu jf- mi sio nyumbu kama wewe

Wewe kazi yako ni kuchimba ming'oko habari za siasa wapi na wapi
 
Kwa 2020 CDM imekula kwenu tayari wala hamtapata kitu kwenye uchaguzi huo, ila umechelewa kuamka na asemacho Mbowe hakuna wa kukipinga pale sio kamati sio nani ye akisema wengine wote ndio mzee hivo basi fikiri nje box

=Fikiri nje box ndio=ndio mdudu gani huyu?
 
Ni kweli tunahitaji mchapakazi.
Lakini kitendo cha katibu mkuu kutoka kaskazini italeta picha flani sio.
Naamini Kanda ya ziwa wapo wachapakazi.

Kanda ya Ziwa ni wanafiki,wamemuangusha Kiwia na Wenje,wametuulia Chama Mwanza hakafu mpewe Ukatibu mkuu?

Kanda ya Ziwa wangekuwa waaminifu Lowassa angeshinda,Bora Dar waliipia kura nying Chadema
 
KATIBU MKUU WA CHADEMA LAZIMA ATOKE KANDA YA ZIWA SIO KASKAZINI TENA.

Katibu Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa kila siku wa chama, kama mnavofahamu baada sintofahamu kutokea ndani ya Chama chetu katibu Mkuu wetu Dr. Slaa aliondoka na kutuacha katika sintofahamu kubwa sana. Ila Leo sitopenda kugusia chochote nitaweka akiba kwa hilo.

Jambo la msingi ni juu ya mustakabali wa chama chetu juu ya upatikanaji wa katibu Mkuu. Sasa mchakato wa katibu Mkuu unaendelea kimya kimya kwa vikao vya mashauriano juu ya nani anafaa kuwa katibu Mkuu wa chama japo Mwenyekiti Freeman Mbowe anashawishi anaowaomba ushauri wakubaliane na Jina analolipendekeza. Jina hilo alilonalo Mwenyekiti wetu ni Sumaye.

Uzalendo wa Sumaye kwa Chama hatuoni, Sumaye ambaye aliyeingia Ukawa kwaajili ya maslahi ya Lowasa hata kadi ya chama chetu aligoma kuchukua hadi uchaguzi kumalizika. Au mnataka kwamba tukubaliane na minong'ono ya mtaani kuwa Sumaye amechukua kadi la sharti ya kupewa ukatibu Mkuu na kuwania nafasi ya Urais 2020. Tutachekesha dunia kuwa na Katibu Mkuu asiyeifahamu itikadi wala falsafa ya chama na uadilifu wake kwa Taifa unatia shaka.

Tunaiomba Kamati kuu isikubali Jina hilo pindi litapoletwa na Mwenyekiti kupitishwa ni lazima safari hii katibu Mkuu atoke Kanda ya ziwa au basi Kanda ya Nyanda za juu Kusini, tumechoka kuwa wasindikizaji tu nasi Kanda ya ziwa tuna sifa za kushika nafasi hiyo kubwa ya chama ya ukatibu Mkuu.

Licha tu ya Sisi Kanda ya ziwa kuhitaji kuongoza kiti hicho, Mwenyekiti lazima aelewe Kanda ya ziwa ina mtaji mkubwa wa wapiga kura hawa watu wa Kanda ya ziwa ndio walimpa kura Magufuli kwahiyo lazima tuishike Kanda hii kama mtaji muhimu ndio ukanda wenye wapiga kura wengi sana wanafika takribani milioni 10

Pia Kanda ya ziwa ndio siku zote imekuwa ikiipa nguvu chadema kwa kuwapa wabunge na madiwani ni wakati Wa Sisi sasa kutupatia heshima.

Sifa ya mwisho kabisa watu wa Kanda ya ziwa tuna sifa kuu ya uadilifu pamoja na uaminifu vile mnavotuamini kuwa Redbriged watiifu basi mtuamini kushika nafasi kubwa sana uongozi na sio kuishia kutupa kuongoza Bavicha tu na kuwa walinzi wa chama huku wa kaskazini wao wakiwa daraja la juu la kuwa na sifa ya kuingia kwenye chombo cha maamuzi.

Tunasisitiza safari hii hatutokubali kabisa katibu Mkuu atoke kaskazini inatupa taabu sana kukitetea chama sio cha kikabila yaani cha kichaga na Kanda ya kaskazini kwa mapungufu ya makusudi, Dr. Slaa alikuwa wa Kanda ya kaskazini kwanini mrithi wake atoke tena Kanda ya kaskazini? Hilo hatotukubali kabisa litokee kuona Sumaye anakuwa katibu Mkuu.

Sumaye Jina Lake halifai kutokeza katika nafasi ya katibu Mkuu tujiulize tunamuamini kwa lipi? Mtu aliyekuja juzi tu Leo tunataka kumpa nafasi kubwa ya maamuzi ni upuuzi sana. Yaani tunajisahau kuwa CCM Wana mbinu nyingi sana wanaweza wakawa wametuiingizia pandikizi la kuja kutumaliza Sisi tunachekelea na kumkumbatia na kuona ufahari yeye kuwa katibu Mkuu wakati tuna watu wengi wenye sifa ya kushika nafasi hiyo wanachadema haswa.

Nawasihi wanachadema wa Kanda ya ziwa tuungane, kama tulivoungana kutetea mwili wa Mawazo upatwe kuagwa kwa heshima basi umoja wetu ule tusikubali katibu Mkuu atoke kaskazini labda Mbowe atuweke wazi Sisi ni mitaji yake ya kisiasa ila ndugu zake hao wa kaskazini ndio wana sifa na uwezo ila Sisi hatuna sifa na uwezo wa kushika nafasi za juu ili nasi tuunde chama chetu cha kikanda kutokana na uwezo wetu na wao wenye akili kubwa wabaki na chama chao.

Tunawataka viongozi haswa Mwenyekiti uhamie Kanda ya ziwa kutafuta katibu Mkuu mzuri anayefaa Kama mlivohamia siku za nyuma kuupigania mwili wa marehemu Mawazo ili mpate mtaji wa kisiasa hamkuchoka mlikaa wiki zima ukanda huu nalo hili lina maslahi mapana kwa Chama maana tukitaja Jina la mtu mtaona tunampigia kampeni tunataka mje mtafute wenyewe. Ni muhimu sana kukijenga chama ambacho kitagawa madaraka katika kutuunganisha na sio Kanda fulani kuwa wasindikizaji sasa chama kimekua twende na kasi yake sasa.

Mwisho tunaomba Kanda zingine zituunge mkono na tumkanye Mwenyekiti Freeman Mbowe asithubutu kumleta Sumaye kuwa katibu Mkuu sababu ya ukaskazini wake na tunamuomba asijiamini kupita kiasi akatudharau Sisi wa Kanda ya ziwa kama alivyowadharau juzi madiwani wa Tarime kuwaambia maneno ya dharau na kukatisha tamaa nanukuu "chama changu kitaenda bila nyie Kanda ya ziwa na watu wa Tarime Jina la Mea nililopendekeza ndio hilo sitaki diwani wa kulipinga" mwisho wa kunukuu, dharau hizi hatutozivumulia tutachukua hatua. Wengine najua mtasema tunaleta ukanda huku mkisahau kuwa viongozi wa juu wote ni wa Kanda moja hilo sio ukanda yenyewe ni sawa! Ila Sisi tunaipania usawa tuonekane ni wakabila kuliko waliojazana kikabila na kikanda. Tunaitaka chadema yenye sura ya kitaifa ukanda wote kupewa nafasi sawa na hao wa kaskazini wanaochukuliwa daraja la juu.

By
Mfia chama
Toka Kanda ya Ziwa

Mbona kichwa cha habari hakihusiani moja kwa moja na ulichoandika?
 
Wewe unacho kiandika kina akisi ubongo wako kuwa ni sawa na ule wa kuku

katika watu ambao wanaongoza kwa kuishusha hadhi chadema wewe ni namba moja.. Umekuwa na Majibu ya kitoto kuliko mwanajf yoyote. Una jibu hoja nzito kwa majibu ambayo hata mtoto wa Darasa la tano hawezi kufanya hivyo.. Huwezi kuwa GT na Daima Hustahili kuwa humu ndani, hadhi yako ni kule FB. Kukubali kile kinachofanywa na Mwenyekiti ni Kuonyesha upeo mdogo uliyonao katika kujibu hoja nzito kama Hizi.
 
Wewe ndio unastahili kuwepo kwenye jukwaa la wacheza lede,
 
Wewe ni sawa na bundi ndani ya ccm, alisema maneno hayo wasira na mangiri mkakenua meno kwa cdm ingekufa kabla ya 2013 lkn leo cdm inazidi kushine na hiyo hiyo cdm ndio mbunge wake kamg'oa huyo wasira

Ka mama kabaya hako!! Kalinipigia sokwe bila huruma!!
 
katibu mkuu wa Chadema lazima atoke kaskazini,hatuwezi kuwakabidhi nafasi hiyo kanda nyingine hatuwaamini.

mmeona tumepata ruzuku nyingi ndio mnaleta pendekezo hilo ruzuku italiwa na wakaskazini nyie wengine tutaonana kwenye maandamano.

tukiitisha maandamano mje kwa wingi.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
KASHINDYE Ngalu umerudi tena na uzushi,mods wanazidi kukuumbua na multiple id,ile Id ya Tunduu Lisuu imevuliwa nguo
 
Last edited by a moderator:

Kwani Mod ni mwanachadema?

mbona unapayuka badala ya kujadili njia gani bora zitupatie Katibu mkuu atakaekipeleka chama mbele?

Kwa sasa mi naona Sumaye ni mtu ambae bado ni kada wa ccm hajui vizuri itikadi na falsafa ya chama.

Vinginevyo kama ni kweli chama kiliuzwa kwao
 
Last edited by a moderator:
Hili jambo la KM wa CDM, ni la Chama , sioni haja ya kulizungumzia hapa JF, kwani hatuwezi fanya lolote Bali kupakiana mijitusi yasiyokuwa na maana. CDM ina Central committee yake ambayo hiyo ndio kazi yao, na kwenye hiyo committee nina imani kuwa watu wengi tuu wa Kanda ya ziwa wamo na watakuwa sehemu ya uchaguzi. Tunawaombea mm pate KM mwenye maana , akili na asiyekuwa kigeugeu na pandikizi.
 
KATIBU MKUU WA CHADEMA LAZIMA ATOKE KANDA YA ZIWA SIO KASKAZINI TENA.

Katibu Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa kila siku wa chama, kama mnavofahamu baada sintofahamu kutokea ndani ya Chama chetu katibu Mkuu wetu Dr. Slaa aliondoka na kutuacha katika sintofahamu kubwa sana. Ila Leo sitopenda kugusia chochote nitaweka akiba kwa hilo.

Jambo la msingi ni juu ya mustakabali wa chama chetu juu ya upatikanaji wa katibu Mkuu. Sasa mchakato wa katibu Mkuu unaendelea kimya kimya kwa vikao vya mashauriano juu ya nani anafaa kuwa katibu Mkuu wa chama japo Mwenyekiti Freeman Mbowe anashawishi anaowaomba ushauri wakubaliane na Jina analolipendekeza. Jina hilo alilonalo Mwenyekiti wetu ni Sumaye.

Uzalendo wa Sumaye kwa Chama hatuoni, Sumaye ambaye aliyeingia Ukawa kwaajili ya maslahi ya Lowasa hata kadi ya chama chetu aligoma kuchukua hadi uchaguzi kumalizika. Au mnataka kwamba tukubaliane na minong'ono ya mtaani kuwa Sumaye amechukua kadi la sharti ya kupewa ukatibu Mkuu na kuwania nafasi ya Urais 2020. Tutachekesha dunia kuwa na Katibu Mkuu asiyeifahamu itikadi wala falsafa ya chama na uadilifu wake kwa Taifa unatia shaka.

Tunaiomba Kamati kuu isikubali Jina hilo pindi litapoletwa na Mwenyekiti kupitishwa ni lazima safari hii katibu Mkuu atoke Kanda ya ziwa au basi Kanda ya Nyanda za juu Kusini, tumechoka kuwa wasindikizaji tu nasi Kanda ya ziwa tuna sifa za kushika nafasi hiyo kubwa ya chama ya ukatibu Mkuu.

Licha tu ya Sisi Kanda ya ziwa kuhitaji kuongoza kiti hicho, Mwenyekiti lazima aelewe Kanda ya ziwa ina mtaji mkubwa wa wapiga kura hawa watu wa Kanda ya ziwa ndio walimpa kura Magufuli kwahiyo lazima tuishike Kanda hii kama mtaji muhimu ndio ukanda wenye wapiga kura wengi sana wanafika takribani milioni 10

Pia Kanda ya ziwa ndio siku zote imekuwa ikiipa nguvu chadema kwa kuwapa wabunge na madiwani ni wakati Wa Sisi sasa kutupatia heshima.

Sifa ya mwisho kabisa watu wa Kanda ya ziwa tuna sifa kuu ya uadilifu pamoja na uaminifu vile mnavotuamini kuwa Redbriged watiifu basi mtuamini kushika nafasi kubwa sana uongozi na sio kuishia kutupa kuongoza Bavicha tu na kuwa walinzi wa chama huku wa kaskazini wao wakiwa daraja la juu la kuwa na sifa ya kuingia kwenye chombo cha maamuzi.

Tunasisitiza safari hii hatutokubali kabisa katibu Mkuu atoke kaskazini inatupa taabu sana kukitetea chama sio cha kikabila yaani cha kichaga na Kanda ya kaskazini kwa mapungufu ya makusudi, Dr. Slaa alikuwa wa Kanda ya kaskazini kwanini mrithi wake atoke tena Kanda ya kaskazini? Hilo hatotukubali kabisa litokee kuona Sumaye anakuwa katibu Mkuu.

Sumaye Jina Lake halifai kutokeza katika nafasi ya katibu Mkuu tujiulize tunamuamini kwa lipi? Mtu aliyekuja juzi tu Leo tunataka kumpa nafasi kubwa ya maamuzi ni upuuzi sana. Yaani tunajisahau kuwa CCM Wana mbinu nyingi sana wanaweza wakawa wametuiingizia pandikizi la kuja kutumaliza Sisi tunachekelea na kumkumbatia na kuona ufahari yeye kuwa katibu Mkuu wakati tuna watu wengi wenye sifa ya kushika nafasi hiyo wanachadema haswa.

Nawasihi wanachadema wa Kanda ya ziwa tuungane, kama tulivoungana kutetea mwili wa Mawazo upatwe kuagwa kwa heshima basi umoja wetu ule tusikubali katibu Mkuu atoke kaskazini labda Mbowe atuweke wazi Sisi ni mitaji yake ya kisiasa ila ndugu zake hao wa kaskazini ndio wana sifa na uwezo ila Sisi hatuna sifa na uwezo wa kushika nafasi za juu ili nasi tuunde chama chetu cha kikanda kutokana na uwezo wetu na wao wenye akili kubwa wabaki na chama chao.

Tunawataka viongozi haswa Mwenyekiti uhamie Kanda ya ziwa kutafuta katibu Mkuu mzuri anayefaa Kama mlivohamia siku za nyuma kuupigania mwili wa marehemu Mawazo ili mpate mtaji wa kisiasa hamkuchoka mlikaa wiki zima ukanda huu nalo hili lina maslahi mapana kwa Chama maana tukitaja Jina la mtu mtaona tunampigia kampeni tunataka mje mtafute wenyewe. Ni muhimu sana kukijenga chama ambacho kitagawa madaraka katika kutuunganisha na sio Kanda fulani kuwa wasindikizaji sasa chama kimekua twende na kasi yake sasa.

Mwisho tunaomba Kanda zingine zituunge mkono na tumkanye Mwenyekiti Freeman Mbowe asithubutu kumleta Sumaye kuwa katibu Mkuu sababu ya ukaskazini wake na tunamuomba asijiamini kupita kiasi akatudharau Sisi wa Kanda ya ziwa kama alivyowadharau juzi madiwani wa Tarime kuwaambia maneno ya dharau na kukatisha tamaa nanukuu "chama changu kitaenda bila nyie Kanda ya ziwa na watu wa Tarime Jina la Mea nililopendekeza ndio hilo sitaki diwani wa kulipinga" mwisho wa kunukuu, dharau hizi hatutozivumulia tutachukua hatua. Wengine najua mtasema tunaleta ukanda huku mkisahau kuwa viongozi wa juu wote ni wa Kanda moja hilo sio ukanda yenyewe ni sawa! Ila Sisi tunaipania usawa tuonekane ni wakabila kuliko waliojazana kikabila na kikanda. Tunaitaka chadema yenye sura ya kitaifa ukanda wote kupewa nafasi sawa na hao wa kaskazini wanaochukuliwa daraja la juu.

By
Mfia chama
Toka Kanda ya Ziwa

Ni kweli tunahitaji mchapakazi.
Lakini kitendo cha katibu mkuu kutoka kaskazini italeta picha flani sio.
Naamini Kanda ya ziwa wapo wachapakazi.

Wakati Kaburoo na Bob Makani wanatawala mbona haukuwepo huo ukanda.
Acheni maneno ya vichaa
Semeni achaguliwe mtu mwenye sifa si ukanda.
 
Mkuu labda hunifaham vzr embu fatilia vizur post zangu za kale humu jf- mi sio nyumbu kama wewe

Wewe ni Nguruwe tu. Kwanini tufuate ya kale tunaangalia ya leo.
Mtu hachaguliwi kwa ukanda bali sifa za kuongoza.
 
Back
Top Bottom