Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

of all people ndan ya CHADEMA wakimpa ukatibu mkuu Sumaye watakua wamepotea... si wamuache tu hata Mwalim aendelee.. Slaa alivyojiuzuru walifanya vizuri sana kumpa ukaim Mwalim badala ya Mnyika.. wampandishe tu hadhi awe katibu mkuu. Alafu naona kiongoz kuongoza vipindi viwili akawaachia wengine ni vizuri zaid ya hapo kiburi kinazidi. Mbowe unapaswa kupumzika.
 
KATIBU MKUU WA CHADEMA LAZIMA ATOKE KANDA YA ZIWA SIO KASKAZINI TENA.

Katibu Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa kila siku wa chama, kama mnavofahamu baada sintofahamu kutokea ndani ya Chama chetu katibu Mkuu wetu Dr. Slaa aliondoka na kutuacha katika sintofahamu kubwa sana. Ila Leo sitopenda kugusia chochote nitaweka akiba kwa hilo.

Jambo la msingi ni juu ya mustakabali wa chama chetu juu ya upatikanaji wa katibu Mkuu. Sasa mchakato wa katibu Mkuu unaendelea kimya kimya kwa vikao vya mashauriano juu ya nani anafaa kuwa katibu Mkuu wa chama japo Mwenyekiti Freeman Mbowe anashawishi anaowaomba ushauri wakubaliane na Jina analolipendekeza. Jina hilo alilonalo Mwenyekiti wetu ni Sumaye.

Uzalendo wa Sumaye kwa Chama hatuoni, Sumaye ambaye aliyeingia Ukawa kwaajili ya maslahi ya Lowasa hata kadi ya chama chetu aligoma kuchukua hadi uchaguzi kumalizika. Au mnataka kwamba tukubaliane na minong'ono ya mtaani kuwa Sumaye amechukua kadi la sharti ya kupewa ukatibu Mkuu na kuwania nafasi ya Urais 2020. Tutachekesha dunia kuwa na Katibu Mkuu asiyeifahamu itikadi wala falsafa ya chama na uadilifu wake kwa Taifa unatia shaka.

Tunaiomba Kamati kuu isikubali Jina hilo pindi litapoletwa na Mwenyekiti kupitishwa ni lazima safari hii katibu Mkuu atoke Kanda ya ziwa au basi Kanda ya Nyanda za juu Kusini, tumechoka kuwa wasindikizaji tu nasi Kanda ya ziwa tuna sifa za kushika nafasi hiyo kubwa ya chama ya ukatibu Mkuu.

Licha tu ya Sisi Kanda ya ziwa kuhitaji kuongoza kiti hicho, Mwenyekiti lazima aelewe Kanda ya ziwa ina mtaji mkubwa wa wapiga kura hawa watu wa Kanda ya ziwa ndio walimpa kura Magufuli kwahiyo lazima tuishike Kanda hii kama mtaji muhimu ndio ukanda wenye wapiga kura wengi sana wanafika takribani milioni 10

Pia Kanda ya ziwa ndio siku zote imekuwa ikiipa nguvu chadema kwa kuwapa wabunge na madiwani ni wakati Wa Sisi sasa kutupatia heshima.

Sifa ya mwisho kabisa watu wa Kanda ya ziwa tuna sifa kuu ya uadilifu pamoja na uaminifu vile mnavotuamini kuwa Redbriged watiifu basi mtuamini kushika nafasi kubwa sana uongozi na sio kuishia kutupa kuongoza Bavicha tu na kuwa walinzi wa chama huku wa kaskazini wao wakiwa daraja la juu la kuwa na sifa ya kuingia kwenye chombo cha maamuzi.

Tunasisitiza safari hii hatutokubali kabisa katibu Mkuu atoke kaskazini inatupa taabu sana kukitetea chama sio cha kikabila yaani cha kichaga na Kanda ya kaskazini kwa mapungufu ya makusudi, Dr. Slaa alikuwa wa Kanda ya kaskazini kwanini mrithi wake atoke tena Kanda ya kaskazini? Hilo hatotukubali kabisa litokee kuona Sumaye anakuwa katibu Mkuu.

Sumaye Jina Lake halifai kutokeza katika nafasi ya katibu Mkuu tujiulize tunamuamini kwa lipi? Mtu aliyekuja juzi tu Leo tunataka kumpa nafasi kubwa ya maamuzi ni upuuzi sana. Yaani tunajisahau kuwa CCM Wana mbinu nyingi sana wanaweza wakawa wametuiingizia pandikizi la kuja kutumaliza Sisi tunachekelea na kumkumbatia na kuona ufahari yeye kuwa katibu Mkuu wakati tuna watu wengi wenye sifa ya kushika nafasi hiyo wanachadema haswa.

Nawasihi wanachadema wa Kanda ya ziwa tuungane, kama tulivoungana kutetea mwili wa Mawazo upatwe kuagwa kwa heshima basi umoja wetu ule tusikubali katibu Mkuu atoke kaskazini labda Mbowe atuweke wazi Sisi ni mitaji yake ya kisiasa ila ndugu zake hao wa kaskazini ndio wana sifa na uwezo ila Sisi hatuna sifa na uwezo wa kushika nafasi za juu ili nasi tuunde chama chetu cha kikanda kutokana na uwezo wetu na wao wenye akili kubwa wabaki na chama chao.

Tunawataka viongozi haswa Mwenyekiti uhamie Kanda ya ziwa kutafuta katibu Mkuu mzuri anayefaa Kama mlivohamia siku za nyuma kuupigania mwili wa marehemu Mawazo ili mpate mtaji wa kisiasa hamkuchoka mlikaa wiki zima ukanda huu nalo hili lina maslahi mapana kwa Chama maana tukitaja Jina la mtu mtaona tunampigia kampeni tunataka mje mtafute wenyewe. Ni muhimu sana kukijenga chama ambacho kitagawa madaraka katika kutuunganisha na sio Kanda fulani kuwa wasindikizaji sasa chama kimekua twende na kasi yake sasa.

Mwisho tunaomba Kanda zingine zituunge mkono na tumkanye Mwenyekiti Freeman Mbowe asithubutu kumleta Sumaye kuwa katibu Mkuu sababu ya ukaskazini wake na tunamuomba asijiamini kupita kiasi akatudharau Sisi wa Kanda ya ziwa kama alivyowadharau juzi madiwani wa Tarime kuwaambia maneno ya dharau na kukatisha tamaa nanukuu "chama changu kitaenda bila nyie Kanda ya ziwa na watu wa Tarime Jina la Mea nililopendekeza ndio hilo sitaki diwani wa kulipinga" mwisho wa kunukuu, dharau hizi hatutozivumulia tutachukua hatua. Wengine najua mtasema tunaleta ukanda huku mkisahau kuwa viongozi wa juu wote ni wa Kanda moja hilo sio ukanda yenyewe ni sawa! Ila Sisi tunaipania usawa tuonekane ni wakabila kuliko waliojazana kikabila na kikanda. Tunaitaka chadema yenye sura ya kitaifa ukanda wote kupewa nafasi sawa na hao wa kaskazini wanaochukuliwa daraja la juu.

By
Mfia chama
Toka Kanda ya Ziwa

Habari ni ndefu mno inakatisha moyo kuisoma
 
Kwa 2020 CDM imekula kwenu tayari wala hamtapata kitu kwenye uchaguzi huo, ila umechelewa kuamka na asemacho Mbowe hakuna wa kukipinga pale sio kamati sio nani ye akisema wengine wote ndio mzee hivo basi fikiri nje box

CCM inamchukia sana Mbowe
 
katika watu ambao wanaongoza kwa kuishusha hadhi chadema wewe ni namba moja.. Umekuwa na Majibu ya kitoto kuliko mwanajf yoyote. Una jibu hoja nzito kwa majibu ambayo hata mtoto wa Darasa la tano hawezi kufanya hivyo.. Huwezi kuwa GT na Daima Hustahili kuwa humu ndani, hadhi yako ni kule FB. Kukubali kile kinachofanywa na Mwenyekiti ni Kuonyesha upeo mdogo uliyonao katika kujibu hoja nzito kama Hizi.

Hii si hoja nzito bali ni ubinafsi. Kwanini asishauri kuw chama kitafute mtu makini? kuleta chama katika hali ya kukabidhiana madaraka kwa kanda hata kama huna sifa kutauwa chama.
Tumeshuhudia Bavicha ya sasa na ya akina Waitara na Heche. Nadhani umenielewa.
 
of all people ndan ya CHADEMA wakimpa ukatibu mkuu Sumaye watakua wamepotea... si wamuache tu hata Mwalim aendelee.. Slaa alivyojiuzuru walifanya vizuri sana kumpa ukaim Mwalim badala ya Mnyika.. wampandishe tu hadhi awe katibu mkuu. Alafu naona kiongoz kuongoza vipindi viwili akawaachia wengine ni vizuri zaid ya hapo kiburi kinazidi. Mbowe unapaswa kupumzika.

Wewe sio mwanachadema,unawezaje kusema Mbowe apumzike? halafu nafasi yake ichukuliwe na nani?

Mwalimu hatoshi,hana uzoefu wa kutosha ,wapo aki na Baregu au Zaveli Rwaitama wanaweza kuwa makatibu wakuu
 
Magufuli anatokea kanda ya ziwa, hiyo haikutohi? kwa hivyo hatuwezi kupeleka dola yote kanda ya ziwa
 
katibu mkuu wa Chadema lazima atoke kaskazini,hatuwezi kuwakabidhi nafasi hiyo kanda nyingine hatuwaamini.

mmeona tumepata ruzuku nyingi ndio mnaleta pendekezo hilo ruzuku italiwa na wakaskazini nyie wengine tutaonana kwenye maandamano.

tukiitisha maandamano mje kwa wingi.

Akili ya ccm hii. Umepewa Tsh. Ngapi?
 
Habari ni ndefu mno inakatisha moyo kuisoma

Ndio maana ulipata div IV kwenye mtihani wsko wa form four,hupendi kusoma kabisa,kama huwezi hiyo page moja ungewezaje kusoma vile vitabu ya Fasihi?

Nadhani hili sio jukwaa lako labda uende Istagram ukaangalie picha za uchi ndio hadhi yako
 
Umeongea vizuri, Tatizo ni Hawa Nyumbu
hawajui kupima mambo
yenyewe ni kufuata mkumbo
 
KATIBU MKUU WA CHADEMA LAZIMA ATOKE KANDA YA ZIWA SIO KASKAZINI TENA.

Katibu Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa kila siku wa chama, kama mnavofahamu baada sintofahamu kutokea ndani ya Chama chetu katibu Mkuu wetu Dr. Slaa aliondoka na kutuacha katika sintofahamu kubwa sana. Ila Leo sitopenda kugusia chochote nitaweka akiba kwa hilo.

Jambo la msingi ni juu ya mustakabali wa chama chetu juu ya upatikanaji wa katibu Mkuu. Sasa mchakato wa katibu Mkuu unaendelea kimya kimya kwa vikao vya mashauriano juu ya nani anafaa kuwa katibu Mkuu wa chama japo Mwenyekiti Freeman Mbowe anashawishi anaowaomba ushauri wakubaliane na Jina analolipendekeza. Jina hilo alilonalo Mwenyekiti wetu ni Sumaye.

Uzalendo wa Sumaye kwa Chama hatuoni, Sumaye ambaye aliyeingia Ukawa kwaajili ya maslahi ya Lowasa hata kadi ya chama chetu aligoma kuchukua hadi uchaguzi kumalizika. Au mnataka kwamba tukubaliane na minong'ono ya mtaani kuwa Sumaye amechukua kadi la sharti ya kupewa ukatibu Mkuu na kuwania nafasi ya Urais 2020. Tutachekesha dunia kuwa na Katibu Mkuu asiyeifahamu itikadi wala falsafa ya chama na uadilifu wake kwa Taifa unatia shaka.

Tunaiomba Kamati kuu isikubali Jina hilo pindi litapoletwa na Mwenyekiti kupitishwa ni lazima safari hii katibu Mkuu atoke Kanda ya ziwa au basi Kanda ya Nyanda za juu Kusini, tumechoka kuwa wasindikizaji tu nasi Kanda ya ziwa tuna sifa za kushika nafasi hiyo kubwa ya chama ya ukatibu Mkuu.

Licha tu ya Sisi Kanda ya ziwa kuhitaji kuongoza kiti hicho, Mwenyekiti lazima aelewe Kanda ya ziwa ina mtaji mkubwa wa wapiga kura hawa watu wa Kanda ya ziwa ndio walimpa kura Magufuli kwahiyo lazima tuishike Kanda hii kama mtaji muhimu ndio ukanda wenye wapiga kura wengi sana wanafika takribani milioni 10

Pia Kanda ya ziwa ndio siku zote imekuwa ikiipa nguvu chadema kwa kuwapa wabunge na madiwani ni wakati Wa Sisi sasa kutupatia heshima.

Sifa ya mwisho kabisa watu wa Kanda ya ziwa tuna sifa kuu ya uadilifu pamoja na uaminifu vile mnavotuamini kuwa Redbriged watiifu basi mtuamini kushika nafasi kubwa sana uongozi na sio kuishia kutupa kuongoza Bavicha tu na kuwa walinzi wa chama huku wa kaskazini wao wakiwa daraja la juu la kuwa na sifa ya kuingia kwenye chombo cha maamuzi.

Tunasisitiza safari hii hatutokubali kabisa katibu Mkuu atoke kaskazini inatupa taabu sana kukitetea chama sio cha kikabila yaani cha kichaga na Kanda ya kaskazini kwa mapungufu ya makusudi, Dr. Slaa alikuwa wa Kanda ya kaskazini kwanini mrithi wake atoke tena Kanda ya kaskazini? Hilo hatotukubali kabisa litokee kuona Sumaye anakuwa katibu Mkuu.

Sumaye Jina Lake halifai kutokeza katika nafasi ya katibu Mkuu tujiulize tunamuamini kwa lipi? Mtu aliyekuja juzi tu Leo tunataka kumpa nafasi kubwa ya maamuzi ni upuuzi sana. Yaani tunajisahau kuwa CCM Wana mbinu nyingi sana wanaweza wakawa wametuiingizia pandikizi la kuja kutumaliza Sisi tunachekelea na kumkumbatia na kuona ufahari yeye kuwa katibu Mkuu wakati tuna watu wengi wenye sifa ya kushika nafasi hiyo wanachadema haswa.

Nawasihi wanachadema wa Kanda ya ziwa tuungane, kama tulivoungana kutetea mwili wa Mawazo upatwe kuagwa kwa heshima basi umoja wetu ule tusikubali katibu Mkuu atoke kaskazini labda Mbowe atuweke wazi Sisi ni mitaji yake ya kisiasa ila ndugu zake hao wa kaskazini ndio wana sifa na uwezo ila Sisi hatuna sifa na uwezo wa kushika nafasi za juu ili nasi tuunde chama chetu cha kikanda kutokana na uwezo wetu na wao wenye akili kubwa wabaki na chama chao.

Tunawataka viongozi haswa Mwenyekiti uhamie Kanda ya ziwa kutafuta katibu Mkuu mzuri anayefaa Kama mlivohamia siku za nyuma kuupigania mwili wa marehemu Mawazo ili mpate mtaji wa kisiasa hamkuchoka mlikaa wiki zima ukanda huu nalo hili lina maslahi mapana kwa Chama maana tukitaja Jina la mtu mtaona tunampigia kampeni tunataka mje mtafute wenyewe. Ni muhimu sana kukijenga chama ambacho kitagawa madaraka katika kutuunganisha na sio Kanda fulani kuwa wasindikizaji sasa chama kimekua twende na kasi yake sasa.

Mwisho tunaomba Kanda zingine zituunge mkono na tumkanye Mwenyekiti Freeman Mbowe asithubutu kumleta Sumaye kuwa katibu Mkuu sababu ya ukaskazini wake na tunamuomba asijiamini kupita kiasi akatudharau Sisi wa Kanda ya ziwa kama alivyowadharau juzi madiwani wa Tarime kuwaambia maneno ya dharau na kukatisha tamaa nanukuu "chama changu kitaenda bila nyie Kanda ya ziwa na watu wa Tarime Jina la Mea nililopendekeza ndio hilo sitaki diwani wa kulipinga" mwisho wa kunukuu, dharau hizi hatutozivumulia tutachukua hatua. Wengine najua mtasema tunaleta ukanda huku mkisahau kuwa viongozi wa juu wote ni wa Kanda moja hilo sio ukanda yenyewe ni sawa! Ila Sisi tunaipania usawa tuonekane ni wakabila kuliko waliojazana kikabila na kikanda. Tunaitaka chadema yenye sura ya kitaifa ukanda wote kupewa nafasi sawa na hao wa kaskazini wanaochukuliwa daraja la juu.

By
Mfia chama
Toka Kanda ya Ziwa

Mwenyekiti Mbowe tunakuomba usiwasikilize wazushi, Mteue Lowasa awe katibu Mkuu na Sumaye umpe u chairman kwa namna hii CDM Mtafika mbali, (ni maoni tu)
 
Sumaye anatosha maana alikuwa waziri mkuu na amekomaa kisiasa.

Chama atakijua mbele kwa mbele ,Mbowe wala usirogwe kuingia kwenye mtego wa kuweka Kibaraka toka kanda ya Ziwa,watakuwa contained na ccm na wataisaliti chadema katikati ya mapambano

Na Sumaye alisema kuwa anakuja kusaidia kuongoza maana upinzani haujakomaa, hivyo Sumaye anatosha maana anakuja kukomaza
 
Chadema ni ya Wachaga hawawezi kumpa MTU mwingine. MBOWE ndiye aliyekiharibu chadema kwa kukiuza kwa LOWASSA.
 
Last edited by a moderator:
katika watu ambao wanaongoza kwa kuishusha hadhi chadema wewe ni namba moja.. Umekuwa na Majibu ya kitoto kuliko mwanajf yoyote. Una jibu hoja nzito kwa majibu ambayo hata mtoto wa Darasa la tano hawezi kufanya hivyo.. Huwezi kuwa GT na Daima Hustahili kuwa humu ndani, hadhi yako ni kule FB. Kukubali kile kinachofanywa na Mwenyekiti ni Kuonyesha upeo mdogo uliyonao katika kujibu hoja nzito kama Hizi.

Mkuu utapoteza muda wako bure kubishana na Mmawia....he's irrational thinker.....and and automatically he's statue of the way many youth fans of cdm thinks without using brain.
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mod ni mwanachadema?

mbona unapayuka badala ya kujadili njia gani bora zitupatie Katibu mkuu atakaekipeleka chama mbele?

Kwa sasa mi naona Sumaye ni mtu ambae bado ni kada wa ccm hajui vizuri itikadi na falsafa ya chama.

Vinginevyo kama ni kweli chama kiliuzwa kwao

Sumaye anatosha hatutaki habari mpya, as long as ni mwanachama basi anahaki sawa kama wanachama wengine kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yoyote ile ndani chama.
 
of all people ndan ya CHADEMA wakimpa ukatibu mkuu Sumaye watakua wamepotea... si wamuache tu hata Mwalim aendelee.. Slaa alivyojiuzuru walifanya vizuri sana kumpa ukaim Mwalim badala ya Mnyika.. wampandishe tu hadhi awe katibu mkuu. Alafu naona kiongoz kuongoza vipindi viwili akawaachia wengine ni vizuri zaid ya hapo kiburi kinazidi. Mbowe unapaswa kupumzika.

Mbowe hawezi kupumzika chama kitakufa
 
Wewe sio mwanachadema,unawezaje kusema Mbowe apumzike? halafu nafasi yake ichukuliwe na nani?

Mwalimu hatoshi,hana uzoefu wa kutosha ,wapo aki na Baregu au Zaveli Rwaitama wanaweza kuwa makatibu wakuu

vipi nafasi ya Mbowe ikichukuliwa na hao uliowataja?

kama Mwalim hana uzoefu.. basi Sumaye hana hata haja ya kujadiliwa.

Mwanzoni nilitaman kuwa mwanachadema ila baada ya kuona siasa ni siasa tu.. nimekaa pembeni.. anaefanya vema nampa hongera zake.. anaevuruga sioni haya kumkosoa.. ufia chama nimeacha.
 
Back
Top Bottom