Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
Nadhani watu hawajapata nafasi ya kuusikiliza; na miye ndio nimeanza kuusikiliza ...
Sasa sijui yule Sweden atakapokuja itakuwaje...
Ndio nimemaliza na sasa nimejikuta niko "speechless" na mimi kuishiwa maneno ni nadra sana. I need to take a vacation sasa.. this is too much. Nadhani ikipatikana hiyo ya EPA inabidi tumpigie saluti Tai sasa.