Sakata la Chalinze Islamic nyuma ya pazia

Mbambamba, porojo tupu, dini zimewageuza watu mmekuwa wajinga kabisa.

Kwahiyo hapo Uislamu unapigwa vita?
Mimi ni muislamu na naamini muislam safi kwa kadri ya mizani ya kibinadamu na mapungufu yetu.
Lakini mtoa mada kuhusisha hili sakata na kupigwa vita uislam napingana nae.
Hili swala limetokea katika shule ya kiislam sasa alitaka watu wasiseme kuwa imetokea katika shule ya kiislam? Uislam unapigwa vita vipi hapo?
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Hivi siku hizi bado kuna watu wanadhani wanaonewa kwenye eneo la elimu kwa sababu ya imani yao? Mashule yalivyo jaa kila kona, bado kuna mtu anasema shule yake inahujumiwa? Kwa lipi hasa mpaka shule ihujumiwe nyakati hizi?
 
Kwenye maiaka ya 80 karibia na 90, kwenye halmashauri fulani ya wilaya moja iliyo mahali fulani ndani ya JMT, kule Kanda ya Ziwa, ulizuka mtindo wa wafanyabiashara kuibiwa maduka yao kwa kubomolewa. Hali hii mwishowe ilipelekea siku moja kuitishwa mkutano wa hadhara na watu kuombwa kumtaja mtu yeyote ambaye wanadhani kuwa anaweza kuwa ni mhusika

Watu wengi walichangia kwenye mkutano huo siku hiyo lakini hayupo hata mmoja aliyejitokeza kutaja jina la mtu. Kwa bahati nzuri au mbaya, alikuwepo bwana fulani ambaye akili yake haikuwa sawa, alikuwa kama nusu chizi hivi ila hakuwa chizi completely. Ilitokea baada ya watu kuwa wameongea lakini pasipo kuwa wametaja jina lolote, hatimaye "nusu chizi" naye alinyoosha mkono ili aongee

"Nusu chizi" aliporuhusiwa, alisimama kwenye hadhara ya mkutano huo ambao ulikuwa ni mkubwa mno. Baada ya kusimama aliwauliza swali makutano hao akisema "NITOBOE SIRI?" watu wote wakaitikia "TOBOAAAAA!!!!"; akarudia tena akauliza " NITOBOE SIRI" safari hii watu wakaitikia kwa sauti ya juu kabisa na kwa nguvu zaidi kuliko mwanzo wakisema "TOBOAAAAA!!!!"; huku wakiwa na imani kabisa kuwa kwa sababu jamaa ni "nusu chizi" lazima tu atataja angalau jina la mtu mmoja na baada ya hapo watakuwa wamepata pa kuanzia

Baada ya makutano kumuitikiwa "nusu chizi" kwa mara ya pili, "nusu chizi" huyo alifikiria kidogo halafu akasema " NALIUNGA MKONO LILE LIFIJANA LIMEKAA"; akiwa anamaanisha kuwa anaunga mkono hoja ya mzunguzaji wa mwisho kijana aliyekuwa amepewa nafasi ya kuongea kabla yeye (nusu chizi) hajaruhusiwa kuongea

Baada ya hapo, watu karibia wote waliinamisha vichwa chini huku wakiwa wamegubikwa na nyuso zilizokosa matumaini juu ya ufumbuzi wa tatizo lililokuwa limewakusanya kwenye mkutano huo.

Aliyeanzisha thread hii amezirudisha kumbukumbu zangu kwenye tukio hilo
Duuuh, fumbo juu ya fumbo!
 
Hahahaaa!! Unachekesha ww mwenye kujua wasifu wa mkuu wa shule ni mwajili wake.je mwajili wa mkuu wa shule iyo ni nani?
 
Ustadh adriz namna gani tena pale jambo lipo wazi wanataka lionekane limekaa kiudini. Maoni yako hatacheza
Mimi huwa mara zote sipendi kuzungumzia jambo ambalo sina elimu nalo wala ushahidi ndio maana nyuzi au mambo yanayohitajia ushahidi na ujuzi kama sina huwa napita kimya.

Kama uchunguzi ukibainika kuwa wamefanya makosa ni muhimu kuwajibishwa kutokana na sheria,ni upumbavu mtu kulalamika kuwa unaonewa na hujuma ikiwa ni imebainika wazi kwa haki kabisa kama wewe ndiye mwenye makosa.
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Usiuhusishe uislam na kufanya dhulma mzee, kuna mda tuache sheria ifate mkondo kama hiyo shule ingekua inafuata misingi ya dini ya kiislam basi isingekubari kua na viongozi ambao sio waadirifu.
Kuna lecturer mmoja ktk Chuo kikuu kimoja hapa bongo ni muislam pure ila kama unajijua ww ni muislam basi ni bora ukutwe unafanya cheating na msimamizi wa mtihani ambae imani tofauti na uislam kuliko ukutwe na huyo mwamba yani utajuta.
 
Kwakweli ujinga ni tatizo. Yaani watu wafanye jinai kinyume cha sheria, kwa vile tu ni shule ya kiislamu waachwe tu yaani. Ili waendelee tu kuvunja sheria sababu ya uislamu? Hivi kweli kuna watu wamefikia uwezo wa chini namna hii katika kufikiri? Siamini kabisa
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Nyie ndio Magufuli alisema msije mjini na mavi yako.
Uisla unahusika vipi na udanganyifu ule.
 
Mimi ni muislamu na naamini muislam safi kwa kadri ya mizani ya kibinadamu na mapungufu yetu.
Lakini mtoa mada kuhusisha hili sakata na kupigwa vita uislam napingana nae.
Hili swala limetokea katika shule ya kiislam sasa alitaka watu wasiseme kuwa imetokea katika shule ya kiislam? Uislam unapigwa vita vipi hapo?
Moja kwa mamia...
 
Mimi huwa mara zote sipendi kuzungumzia jambo ambalo sina elimu nalo wala ushahidi ndio maana nyuzi au mambo yanayohitajia ushahidi na ujuzi kama sina huwa napita kimya.

Kama uchunguzi ukibainika kuwa wamefanya makosa ni muhimu kuwajibishwa kutokana na sheria,ni upumbavu mtu kulalamika kuwa unaonewa na hujuma ikiwa ni imebainika wazi kwa haki kabisa kama wewe ndiye mwenye makosa.

Moja kati ya waislamu wachache naowaheshimu humu hua ni wewe una mtazamo mpana sana sio fuata mkumbo kama mtoa mada
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Mimi ni Mgalatia mwandamizi.

Hili jambo nineliona nilipoona hatua ya kuifungia shule imepigishwa nilijiuliza maswali mengi na sijapata majibu mpaka sasa.

Inawezekana vipi hukumu kutolewa haraka bila kuelezea ubainifu wa aliyetenda kosa hilo alilitendaje kwa msaada au ushirikiano na nani. Pia wizara inaelekeza wahusika wachukuliwe hatua, utakuta watafukuzwa kazi na wataenda kuomba kazi kwingine.
Busara ni wahusika kuchukuliwa hatua na wizara na kutoathiri juhudi za kituo kutoa elimu kwa kukiweka chini ya uangalizi kwa muda fulani

Tanzania tuna ubaguzi flani hovyo sana
 
Kuwa makini huyu jamaa Mcqueenen sio Muislamu amekuwa akiigiza kuwa muislamu kwa malengo yake hasi na amekuwa kinyonga mara nyingine ajifanye atheist.

Kila uzi analeta udini anasikikizia upepo awe upande you ni kurudi Kibaha humu na katika jamii anayoishi .
Please stop now, it's pathetic
 
Makristo yanatuhujumu sana nchi hii
Moderator Mhariri Active Paw Rider na Maxence Melo huyu jamaa amekuwa analeta uchochezi wa kidini kila uzi kea kuigiza Muislamu mara nyingine atheist kuchochea chuki .

Kwa heshima la hili jukwaa achukuliwa hatua kali za kinidhamu maana tabia yake hii inaweza kuharibu mijadala humu na na kuleta taharuki kubwa na members wote muwe makini na mtu huyu ni kurudi mbaya sana.
 
Back
Top Bottom