Maisha ya shule za dini kiislamu

Maisha ya shule za dini kiislamu

AFRIKAN GUY

Senior Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
102
Reaction score
110
Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha.

shule hii wanafunzi wanajitegemea upande wa chakula Tu, ila makazi ya kulala yapo.

mwanafunzi#1 alisema anapewa 10000 kwa mwezi.
mwanafunzi#2 alisema anapewa 5000 kwa wiki.
mwanafunzi#3 alisema yeye anakuja na kuondoka hapa shuleni. na ni kweli maana hata hakuendelea kukaa na sisi kupiga stori akaondoka. akaniacha na wenzake wawili...

Muda mchache nilioongea nae story za kawaida tu, alikua hana utulivu kama wenzake, alikua anaruka ruka kila mahali. alikua hana hekima ya kuzungumza pia. mara kadhaa alikua akikosolewa na hao wenzake wawili.

So mwisho wa siku nilibaki na wenzake wawili. ndipo nikaanza kupiga nao story kuhusu maisha ya shuleni hapo.

Pesa wanazo pewa zikiisha, na hua haziishi mapema kwasabab ni ndogo sana so wanajitahidi kuzitunza sana. 5000 kwa wiki na 10000 kwa mwezi si hela ya kutosha kwaajili ya matumizi ya chakula hata kwa mtoto mdogo.
wanaweza kukaa siku mbili bila kula kwasababu pesa zinakua zimewaishia.

Katika hali hio wanalazimika kuomba kwa wanafunzi wenzao chakula, kuna muda hupeana kuna muda hunyimana.

Mwenye kingi analzimika kugawana na wenzake, mwenye hana, analazimika kuomba kwa mwenye nacho.

Wanafunzi hao wawili waliongelea swala la kujishusha ili kuomba, na kujinyima ukiwa nacho ili ukiwa huna uombe, na upewe. sasa kwa mtoto mdogo kuongelea swala la kua na dhiki hio kwa level hio ilinistaajibisha.

ikumbukwe hii sio shule ya elimu ya sekula, ni shule ya dini.

sasa sijui HEKIMA ilio nyuma ya maisha haya ya shule za dini za kiislamu. na sijui kama ni shule hii tu au shule zote za dini kiislamu.
 
si sahihi kuhitimisha kwamba huu ndio utaratibu wa shule zote za dini za Kiislamu kwa kutegemea uzoefu wa shule moja. Shule za dini hutofautiana katika mitaala, mbinu za ufundishaji na msisitizo wa maadili.
 
Sure labda kichwa cha habari kingesema. Maisha ya wanafunz watatu wa shile xxx ya Dini.

Lkn hata hvyo Kuna mtu Angetoa comment "Sito hao tu wapo wanafunzi wengi wa hvyo"
 
Nadhani hapo walipo Wapo mahali salama zaidi, kuishi maisha ya hatari
Kipi Bora
Wawe mtaani?
Au wapate elimu ya kujikomboa katika mazingira magumu?
Mi nimesoma govt primary Hadi chuo, wenye maisha magumu wapo na wenye uwezo wapolama
 
Back
Top Bottom