Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,281
- 7,476
Kula nguruwe hiyo akili ikomae acha ujinga.
Hana hoja yoyote ni kulialia tu. Eti anawalumu NECTA kwa udanganyifu wa shule ulioratibiwa na shule yenyewe.Ebu tuletee wasifu wa mmiliki wa shule na Mkuu wa shule? Una hoja ya msingi ila umeshindwa kuipangilia vzr....!!
Huyu ni staff member wa shule na ana maslahi pale ila bado hana akili. Mdau mkubwa wa shule ila hata kutetea upuuzi wake na kuuwasilisha hawezi. Au ndio zao lile lile la kufanyiwa mtihaniItakuwa wew ndio mkuu wa shule
Kila mmoja atapata haki yake. Wale wasimamizi wamepata adhabu yao. Ni wajibu wa wenye kituo kulinda kituo chao. Wamenyimwa tu kuhost mitihani ya NECTA. Kuendelea na biashara yake ya elimu haijakataliwa na sio kazi ya NECTA.SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC
Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.
Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.
Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.
Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.
TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC
Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.
Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.
Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.
Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.
LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.
Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????
Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?
Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.
Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.
TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.
Copy & paste.
Unajua nmekukumbuka sana hilo neno mnyazi,nlivyokuwa nasoma nkawa naangalia huyu mzee wa mnyaz kweli simuoni huku?ila hao jamaa n complicated sana wanaonaga kama wanaonewaVijana wa mnyaz akili ni mavi kabisa
Jinga jingine hili. Linaleta UdiniSOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC
Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.
Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.
Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.
Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.
TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC
Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.
Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.
Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.
Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.
LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.
Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????
Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?
Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.
Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.
TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.
Copy & paste.
Mbambamba, porojo tupu, dini zimewageuza watu mmekuwa wajinga kabisa.
Kwahiyo hapo Uislamu unapigwa vita?
NIMEJARIBU KUSOMA KWA UMAKINI, SIONI LA MAANA.
""Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki."
UNATUMIA NENO "CHUKI DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU" KUTAKA KUUNGWA KUUNGWA MKONO KWA MAWAZO YA HOVYO KAMA HAYA!.KWANINI MTU/WATU WAWE NA CHUKI NA SHULE ZENYE HISTORIA YA KUFANYA VIBAYA KWENYE MITIHANI!!?
"Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule"
KWAKO MWENYE AKILI KUBWA, BASI LIKIPATA AJALI KUTOKANA NA MWENDO KAS ANAKAMATWA ABIRIA AU DEREVA?
Na hapo shule haijafungiwa, kimefungiwa kituo tu cha kufanya mitihani, Sasa ingefungiwa shule yenyewe sijui ingekuwaje?Hana hoja yoyote ni kulialia tu. Eti anawalumu NECTA kwa udanganyifu wa shule ulioratibiwa na shule yenyewe.
Katoa porojo na kutia huruma eti shule imepambana sijui inapigwa vita. Tunaweza jaribu kutetea shule inayoiba mitihani ipewe nafasi kujirudi, ila shule inayokatisha ndoto za wanafunzi wake wenyewe hiyo shule inaongozwa na vichaa wa elimu. Ipumzishwe
...umenene vyema, niliteleza na uzi wake najua nakutana na lililopo nyuma ya pazia kumbe kaandika upuyungu tu na kuishia kudhururadhurura kimaandishi. Watu wengine unaweza kulamba kelebu hata kwa emoji 👋🏿👋🏿👋🏿 tu...angekuwa mtoto wake kafanyiwa hivyo sijui kama angeandika ushuzi kama huo.Kwenye maiaka ya 80 karibia na 90, kwenye halmashauri fulani ya wilaya moja iliyo mahali fulani ndani ya JMT, kule Kanda ya Ziwa, ulizuka mtindo wa wafanyabiashara kuibiwa maduka yao kwa kubomolewa. Hali hii mwishowe ilipelekea siku moja kuitishwa mkutano wa hadhara na watu kuombwa kumtaja mtu yeyote ambaye wanadhani kuwa anaweza kuwa ni mhusika
Watu wengi walichangia kwenye mkutano huo siku hiyo lakini hayupo hata mmoja aliyejitokeza kutaja jina la mtu. Kwa bahati nzuri au mbaya, alikuwepo bwana fulani ambaye akili yake haikuwa sawa, alikuwa kama nusu chizi hivi ila hakuwa chizi completely. Ilitokea baada ya watu kuwa wameongea lakini pasipo kuwa wametaja jina lolote, hatimaye "nusu chizi" naye alinyoosha mkono ili aongee
"Nusu chizi" aliporuhusiwa, alisimama kwenye hadhara ya mkutano huo ambao ulikuwa ni mkubwa mno. Baada ya kusimama aliwauliza swali makutano hao akisema "NITOBOE SIRI?" watu wote wakaitikia "TOBOAAAAA!!!!"; akarudia tena akauliza " NITOBOE SIRI" safari hii watu wakaitikia kwa sauti ya juu kabisa na kwa nguvu zaidi kuliko mwanzo wakisema "TOBOAAAAA!!!!"; huku wakiwa na imani kabisa kuwa kwa sababu jamaa ni "nusu chizi" lazima tu atataja angalau jina la mtu mmoja na baada ya hapo watakuwa wamepata pa kuanzia
Baada ya makutano kumuitikiwa "nusu chizi" kwa mara ya pili, "nusu chizi" huyo alifikiria kidogo halafu akasema " NALIUNGA MKONO LILE LIFIJANA LIMEKAA"; akiwa anamaanisha kuwa anaunga mkono hoja ya mzunguzaji wa mwisho kijana aliyekuwa amepewa nafasi ya kuongea kabla yeye (nusu chizi) hajaruhusiwa kuongea
Baada ya hapo, watu karibia wote waliinamisha vichwa chini huku wakiwa wamegubikwa na nyuso zilizokosa matumaini juu ya ufumbuzi wa tatizo lililokuwa limewakusanya kwenye mkutano huo.
Aliyeanzisha thread hii amezirudisha kumbukumbu zangu kwenye tukio hilo
Nimesoma mstari kwa mstari lkn holaa.Mimi nilijua utakuja na ukweli kuhusu nyuma ya pazia, lakini ni porojo tu.
Religion is Mankind opium, siku moja nilimsikia Profesa Lipumba anaongea upumbavu msikitini kuisaidia Ccm kwa sababu Kikwete ni mwislamu mwenzao ndio nilimdharau rasmi na mpaka leo namuona ni sawa na kinyesi tu, tena bora hata kinyesi kuliko Professorial rubbish.
Yaweza kuwa ni shule ya mwana mfalme.
Kwa huo ujinga siyo hiyo shule tu, sema tu ujasiri huo wa kusema haupo.
Kwa shule za upande huu wa pili, wangepewa adhabu na onyo ila shule isifungiwe.
Mbona hata hiyo shule haijafungiwa?Yaweza kuwa ni shule ya mwana mfalme.
Kwa huo ujinga siyo hiyo shule tu, sema tu ujasiri huo wa kusema haupo.
Kwa shule za upande huu wa pili, wangepewa adhabu na onyo ila shule isifungiwe.