Sakata la Chalinze Islamic nyuma ya pazia

Sakata la Chalinze Islamic nyuma ya pazia

Crap!
Yani watu wakae kujadili utopolo wa watu wanofanya unprofessional conduct! Kwanza si hukumu ishatoka?

Pambaneni na hali zenu ma matendo yenu!
 
cha kushukuru ni kwamba kiongozi mkuu wa serikali ni muislamu mbali na hapo aloo wavaa kobasi wangelaumu sana kwamba wanafanyiwa figisu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Omba sana Allah akujaalie hekma.
Ha.. ha...ha
Umesabisha nicheke peke yangu.
Jambo usilolijua na kama usiku wa kiza.

إِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَىٰٓ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوكَ فَوۡقَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرۡجِعُكُمۡ فَأَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ
 
Hana hoja yoyote ni kulialia tu. Eti anawalumu NECTA kwa udanganyifu wa shule ulioratibiwa na shule yenyewe.

Katoa porojo na kutia huruma eti shule imepambana sijui inapigwa vita. Tunaweza jaribu kutetea shule inayoiba mitihani ipewe nafasi kujirudi, ila shule inayokatisha ndoto za wanafunzi wake wenyewe hiyo shule inaongozwa na vichaa wa elimu. Ipumzishwe
Na uzuri tuhuma zenyewe zimeanzishwa na mwanafunzi wa hapo hapo mwenye dini hiyo hiyo. Ingekuwa tuhuma zimeanzia nje ya shule labda tungeona kuna mantiki kidogo.
 
Back
Top Bottom