Sakata la Chalinze Islamic nyuma ya pazia

SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Mimi sijakuelewa umejilambalamba tu ELEZA VIZURI
 
Watu wa kulalama mshaanza kuhusisha na DINI. Kutafuta sympathy ya udini na kiongozi wa nchi
 
Tena sio chalinze islamiki tu, shule yoyote itakayo fanya upuuzi kama huo walimu wake na shule itachukuliwa hatua kali.

Heko kwa waziri kwa kuwa makini kwenye suala la elimu.

lakini pia tunawataka NECTA wasahihishe mitihani kwa uangalifu lkn pia kwa kuzingatia matokeo ya mtihani wa Taifa wa darasa la 4, hilo litasaidia kujua ufaulu wa watoto.
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Akili na hulka zako zipo kiudini zaidi ya jambo jingine lolote.

Umeongelea kushabikia kuchukuliwa kwa hatua zilizokwisha kuchukuliwa na Necta, sisi tunaona hapo ndiyo haki ilipotendeka, wewe unataka kutueleza nini tena, kitaje sasa.

Kama kuna jambo lililojificha nyuma ya pazia mbona haujalitaja na kuishia kuuma uma tu maneno!

Mijadala hii ni migumu sana kuchangia kitu cha maana hasa mwanzilishi akiwa tayari ni "brain washed" na mambo ya udini.
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
Mkurupuko na mlipuko wa wasilisho
 
Haijalishi ni kosa la nani ila popote pale uovu kama huu ukemewe vilivyo!
 
90% ya watu wenge udimii mwingi zero brain!.. Mnalalama Sana nyie linapokuja issue ya elimu!.. mnaonewa mnaonewa!...
 
Kwa watumishi wa umma mfano afisa elimu amechukuliwa hatua
Na pia kwa wale watumishi wa shule ambao sio waajiliwa wa selikal selikal imeagiza wachukuliwe hatua na uongozi wa shule

Kuchukuliwa kwa hatua kwa shule kunatokana na wao kama taasisi walipata taarifa au malalamiko ya bint lakini hakuna hatua walizo chukua hii inafikilisha kuwa pengine ni mpango wa shule
Lazma hatua zichukuliwe
 
Huu ujinga ujinga wa kubadilishiwa number za mitihani unafanyika Shule nyingi sana ni vile wazazi waoga kupiga kelele

Mfano wa haya matukio ni Shule za Feza Mtaala wa Necta , pale ukitaka nafasi Lazima uwe na million mbili hata kama mtoto wako hana akili atafanyiwa mtihani na mtoto mwenzie mwenye akili bila huyo mwenye akili kujua kama matokeo yake yatauzwa kwa style ya kubadilisha number wanalazimisha kujaza mitihani kwa pencil mtoto atakaefaulu vizuri majibu yake yanauzwa kwa mzazi mwenye hela na yeye kupewa majibu ya kutunga

Wazazi mtakaopeleka watoto wenu kufanya interview Shule za Feza kuweni makini kwa Kua mtalipia hizo interview ombeni matokeo yaludishwe Muhakiki handwriting japo Kua Wakibanwa Sana watasema tumeshazitupa karatasi walizotumia kujaza mitihani .Shule za Feza zimekua ni biashara na ndio maana wapo nyuma kitaaluma
 
Hapa naona kuna udini Tu mreta mada ndio anoreta kwamba waislam wanaonewa......na ilihali aliyezifunga hizo shule ni mwislam pia........SASA sijui kuna mitume wangapi au kuna WA Saudia na Yemen??
 
Halafu hii shule ukiangalia matokeo ya nyuma ni shule ilikua inafanya vzuri tu
 
Hapo hamna Cha busara ni uzembe tu wameufanya nashule ilitakiwa kufutwa kabsa
 
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC

Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.

Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.

Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.

Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.

TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC

Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.

Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.

Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.

Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.

LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.

Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????

Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?

Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.

Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.

TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.

Copy & paste.
@Zambotti umeandika porojo tu. Hamna la msingi Wala la maana ulililoandika. Weka wazi sasa wewe mwenye akili kubwa hayo yaliyonyuma ya pazia.

Kwa ufupi ni kuwa umeandika pumba
 
Wewe qurani yako inakuambia usiwe na rafiki Mkristo.

Kusema unawapenda wa Kristo kwa andiko gani ?
Dini yako kila kukicha ni ya kupandikiza chuki tu na kuua watu wasio na hatia.

Wewe sio mwislamu

Aya ya Shetani.

Surah Al-Maidat Ayah 51

۞يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَتَّخِذُواْ ٱلۡيَهُودَ وَٱلنَّصَٰرَىٰٓ أَوۡلِيَآءَۘ بَعۡضُهُمۡ أَوۡلِيَآءُ بَعۡضٖۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمۡ فَإِنَّهُۥ مِنۡهُمۡۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّٰلِمِينَ
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Mnafiki wewe, unampendaje Mkristo na uislamu wako.
Unataka ili umchinje sio.

IMG_0698.jpg

IMG_0697.jpg

IMG_0696.jpg

Dunia ilishavuka upande wa aya waislamu wako tofauti wanafocus upatanishi na kujenga amani ya dunia na wasio waislamu
 
Back
Top Bottom