Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC
Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza.
Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa.
Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani.
Kama MTU hajui kutegeshewa mpira wa jiwe basi anyamaze kwanza atafakari vizuri.
TUNAPINGA LUGHA CHAFU NA MASHAMBULIZI DHIDI YA SHULE YA CHALINZE ISLAMIC
Wenye chuki dhidi ya shule za kiislamu wanataka kutumia mwanya huu kuzikashifu na kuzishambulia shule na taasisi za kiislamu hii haikubaliki.
Kuna mambo mengi yasiyofahamika Kwa wengi juu ya sakata hili wengi wameegemea kwenye taarifa ya mtoto na NECTA tu lkn hawajui kitu Gani kilichopelekea hivyo mwanzo mwisho.
Tumewashauri watu kuacha kutoa lugha za hovyo na kuacha kuzishambulia shule hii na zingine kama wamekosa maneno ya kuwaaambia basi ni vema wakae kimya.
Wenye akili kubwa wanajua ni kwanini sakata hilo wafanye mkuu wa shule na msimamizi wa mitihani alafu adhabu ije Kwa shule.
LEO MKUU WA SHULE NA MSIMAMIZI HAWAPO PALE SHULE KESHO WANAWEZA KUONEKANA PENGINE WAKIWA KAZINI TENA KWA MADARAKA MAKUBWA SIO JAMBO LA AJABU, LAKINI WENYE SHULE NA UMMAH WETU NDIYO WALIOPATA PIGO KUBWA.
Wangapi WANAIJUA wasifu wa Ndani wa msimamizi wa mtihani hata wasifu wa mkuu wa shule????
Wangapi WANAIJUA hii shule mafanikio yake kitaaluma na mapambano Gani yamefanyika muda mrefu kuitoa kwenye reli kama zilivyotolewa shule zingine?
Ndiyo maana tunatoa pole nyingi Kwa Wamiliki na WAENDESHAJI wa shule hii huku lawama zikistahiki wahusika mkuu wa shule na msimamizi kutoka NECTA.
Tunalipongeza BARAZA la mitihani kupokea taarifa Kwa haraka na kuchukua hatua lkn hii haiondoi nafasi yetu ya kufatilia wasifu wa Ndani wa wasimamizi na mkuu wa shule Kwa ajiri ya kubaini undani na ukweli zaidi wa kile kilichofanyika na kilichotokea.
TUTOE MAONI YETU KWA BUSARA LAKINI TUSITUMIE HASIRA ZETU CHUKI ZETU DHIDI YA SHULE ZA KIISLAMU KUISHAMBULIA SHULE HII.
Copy & paste.