Na ili kuwasopoti tulipewa nini na mfalme wa Morocco?Mkuu figisu ziko dunia nzima sio africa tu tafauti kati yao na sisi ni methodology tu.pia rekekebisha hapo juu moroco wanaikalia kimabavu Jamhuri ya sahrawi na sio Saudi arabia.
Wanatufanya mazwazwa hawa washenzi wa pua ndefu.
Kuanzia Britain,Spain,ulaya yote mpaka USA wote sura mbili ila sisi tunavyoitikia hicho kibwagizo cha democracy mpaka twauana.
Liingiliwe mara ngapi mkuu wangu ,au umesahau ya Libya..!??Ni mazwazwa kweli why watuendeshe na mambo yetu kama tuko strong. Hiyo AU wenyewe haina nguvu yoyote hata taifa LA Africa likiingiliwa wata mute tu.
Na hiyo ndio sababu kuu ya msingi!Catalan ndiyo kuna vitega uchumi, wakijitoa Spain itapumulia mashine kiuchumi
Lakini ni kwanini wanataka kujitenga?Catalan ndiyo kuna vitega uchumi, wakijitoa Spain itapumulia mashine kiuchumi
Liingiliwe mara ngapi mkuu wangu ,au umesahau ya Libya..!??
na hiko ndo kinachokera wako busy kuhubiri democracy kenya hadi watu wanauana wao wenyewe hata hawajishugulishiWanatufanya mazwazwa hawa washenzi wa pua ndefu.
Kuanzia Britain,Spain,ulaya yote mpaka USA wote sura mbili ila sisi tunavyoitikia hicho kibwagizo cha democracy mpaka twauana.