Sakata la Catalan: Wazungu ni wanafiki sana, wanatulazimisha kufanya vitu ambavyo wao vinawashinda

Lakini ni kwanini wanataka kujitenga?
cataluna despite kua spain lkn wako tofauti sana na waspain wengne
1.culture tofauti- wao wanatamaduni zao za kipeke yao peke yao tofauti waspain wengne
2. wao ndo jimbo tajiri spain hvo wao ndo wanakusanya kodi kubwa nying so wanafeel wao ndo wanawasaidia majimbo mengne kuliko wao wanavosaidiwa
3. cataluna wana population kubwa so wanajiamin wanaeza kustand as a nation bila matatzo

hzo ni baadhi tu mkuu
 
Back
Top Bottom