OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,782
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.
Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.
Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.