Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,757
102,103

Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.

Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.

Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
 
Bora viongozi wa kiislamu waseme maana tunakoelekea itaonekana anamfuatilia sana kwa sababu ni muislamu
 
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.

Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.

Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.

Waislamu na mifano ya mbwa ni vitu viwili tofauti....... Nilijua lazima siasa kali wataibuka japo tulishawasahau!
 
80 Reactions
Reply
Back
Top Bottom