Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

Ovyo kabisa, li ndugai limeshupalia mwenzake afukuzwe kazi, hivi alivyowachapa bakora maccm wenzake na sisi wananchi tungeshupalia angeupata wapi huo uspika
Huyu kakosa wa kumpa ukweli
Hivi lawama zote hizi dhidi yake na watu wote kumwambia bado katunisha mshipa tu
Kweli nilikuwa nasoma comments tu lakini naona kawa ni utoto sasa
Tell him to grow up please

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Viongozi wa upande wa pili wa ile dini nyingine kwny suala hili la CAG wala hawana cha kusema wanaona kama vile haiwahusu,subiri sasa mkuu awakomalie hakuna exemption huko bandarini kwny magari yao ya taasisi uone wanavyo ng'aka sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tafadhalini tusitoke nje ya Mstari

Tukitoka nje ya Mstari tutampa ushindi wa Mezani Mtu wa Hovyo hovyo

Nimekuja kuona kinachomuuma Spika ni vile Assad alivyoelezea suala zima la gharama za matibabu ya huko nje kwny ile ripoti yake.

Maana nimeona anasema ooh mimi suala la kuumwa ni mpango wa Mungu sijui ningerudi nimekufa sijui nini,story mingi balaa as if ile report ilikua imetengenezwa kwa ajili yake tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Job Ndugai ajiudhuru maana ameshindwa kusimamia wajibu wake, anatetea wizi.
Bunge ma wapenda nchi yetu Tz wamwajibisshe.
Hafai hata kuwa balozi wa myumba kumi!!
 
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.

Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.

Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
Kama nguvu kubwa mnaitumia namna hii,basi kuna ajenda ambayo si salama kwa nchi,shekh anaingiaje kwenye issue ya bunge na cag?
Hakika mitandao hujenga na hubomoa pia,umeamua kuutumia kulibomoa taifa lako kwa kuingiza udini,

Mods,ondoa hii takataka,
 
Nimekuja kuona kinachomuuma Spika ni vile Assad alivyoelezea suala zima la gharama za matibabu ya huko nje kwny ile ripoti yake.

Maana nimeona anasema ooh mimi suala la kuumwa ni mpango wa Mungu sijui ningerudi nimekufa sijui nini,story mingi balaa as if ile report ilikua imetengenezwa kwa ajili yake tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inzi tu wanakufa, angerudi kwenye jeneza bombardier ingepeleka mwili Dodoma na wabunge kusindikiza msafara Kongwa.
 
Ndugai ana tatizo la akili na limetokana na ugonjwa, Mungu amsaidie sana maana anakoelekea ataharibu zaidi, huu ugonjwa kama ulikuwa na lishe mbovu toka utotoni dawa zitakupelekesha sana, na huko kongwa ndio kuna historia ya utapiamlo miaka nenda rudi... Akili imenyevuliwa bora yeye ajiudhulu.
 
Viongozi wa upande wa pili wa ile dini nyingine kwny suala hili la CAG wala hawana cha kusema wanaona kama vile haiwahusu,subiri sasa mkuu awakomalie hakuna exemption huko bandarini kwny magari yao ya taasisi uone wanavyo ng'aka sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Pengo, malasusa na akina kilaini .....wamejaa unafiki
 
Back
Top Bottom