Sakata la Bomu: Pengo afichua siri

Inashangaza sana Tz.wanaopiga kelele za udini sio waendaji makanisani wala misikitini huo ndio ukweli
 
Tz tumetekwa na siasa za udini.
 

Kwa kiwango cha Elimu ya mwandishi wa hii kitu kamwe huwez kumuelewa Pengo..katoliki wana intelijensia yao..wanajua kila kitu..niamini.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Uvivu wetu wa kufikiri umefanya wanasiasa watuendeshe wanavyotaka
 
Masome vitabu vya kinabii.Kama haujasoma scripture interpretation hutaambulia kitu.katika vitabu hivi vimeandikwa kwa staili ya kinyume yaani mtu akitaka kulia anacheka na akitaka kulaani anapongeza.chezea theology wewe
 

Labda sababu Lema aliongea..Naanza kuwa na hofu na Mengi labda anataka viwete waongezeke ili aendelee kula ujiko..hizo digree zao za DSJ ngumu kuchalenge kichwa ya mtu mwenye hadhi ya Kadinali ..wanajua vitu vingi wale..kuanzia saikolojia mpakka intelijensia


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mwandishi wa mada hii hana upeo wa kuelewa mantiki na falsafa aliyotumia Kardinal Pengo katika hili
 
Vyama vinavyokufa vinahisi na kudhani vitaponea kwenye udini. Binafsi Pengo nimemuelewa
 
Kama tusipomuamini Pengo ulitaka tukuamini wewe na ajenda zako za kutaka tusuguane kidini? Na ushindwe!
 
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]8
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]9
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]10
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya nchi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nenda kajipange upya uje na hoja yamaana.
 
Itakuwa Pengo naye kanunuliwa na CCM
 
Kama haumuelewi Pengo basi wewe utakuwa ni mpinga Kristo.

Shame on you.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Ndugu yangu, hivi kweli ulitegemea Pengo aseme hilo ni shambulio la KIDINI? Jamii ya kiislamu ingechukuliaje kauli hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…