Asante sanaKumbe ndio maana tabasamu halikuishi, hongera sana
Mimi napenda pesaaa yani pesaa nikiwa nazo nyingi furahaa ndo nakuwa nayo nikiwa sina akiii unaweza kuzani mgonjwaa
amani ni msingi wa maisha sweetNa wewe unachangia pia kwa hii amani niko nayo babe
aiseeI say Amen to that.
Maana wengi humu sisi ni wanafiki..ohh..amani..mara furaha..mara nini.......... Utakuwa na amani kama unadaiwa bill au karo za watoto na huna hela? Utakuwa na amani kama hujui siku iaanzaje na kuishaje?
Kiukweli mengine ni ziada. Ukiwa na hela hayo mengine yatapatikana (you can afford best doctor in town, healthy food, usafiri mzuri, makazi ya kuishi bora, kumudu majukumu ya familia na kijamii.......the list is endless!).
By the way ni mara chache sana mtu mwenye pesa kuwa na roho mbaya! Na BILA PESA MFUKONI huwezi kuwa na confidence!
Hakika baeamani ni msingi wa maisha sweet
Ila wewe sjui nimekukosea nn?ndio
Sawa kabisa mm pesaaa tu ndo nakuwa na furaha naweza fanya chochote kama nina madoraliI say Amen to that.
Maana wengi humu sisi ni wanafiki..ohh..amani..mara furaha..mara nini.......... Utakuwa na amani kama unadaiwa bill au karo za watoto na huna hela? Utakuwa na amani kama hujui siku iaanzaje na kuishaje?
Kiukweli mengine ni ziada. Ukiwa na hela hayo mengine yatapatikana (you can afford best doctor in town, healthy food, usafiri mzuri, makazi ya kuishi bora, kumudu majukumu ya familia na kijamii.......the list is endless!).
By the way ni mara chache sana mtu mwenye pesa kuwa na roho mbaya! Na BILA PESA MFUKONI huwezi kuwa na confidence!
NakaziaPesa nikiwa nayo hata njaa sisikii. Narudia pesaaaa Sabuni ya roho huwa inaniongezea kujiamini
Utakipata tuu,.usijaliBado nakitafuta...
Upo wapo nije kukumwagia mapesa ?Nakazia
Aisee nipo nyumbani nimelalaUpo wapo nije kukumwagia mapesa ?
Utakipata tuu,.usijali