Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,503
2,000
furaha kinyume chake ni huzuni...vipo vingi vyenye kuleta huzuni mf kukosa pesa,kuumwa,mahusiano(urafiki,mapenzi,undugu)...vyote hivi na vingine vinatokana na tamaa/uhitaj wa mwanadam hivyo kukosa chochote tayar unapatwa na huzuni...kila kimoja kinatatuliwa kwa huduma/hitajio tofauti mf ukiwa na huzuni ya kukosa/kuishiwa pesa basi ili uwe na furaha itakupasa upate PESA....ukiwa na huzuni ya kukosa mpenzi umpendae basi ili uwe na furaha ni umpate YULE UMPENDAE hapa pesa haina nafasi tena....kifupi tunakosa FURAHA kwa mipango yetu kwenda kombo (hasa 0%) hivyo ili uwe na furaha ni pale tu MAMBO yakaenda kama ulivyo panga walau kiasi cha kutia moyo (50%,60%,70%,80%,100%)....kumbuka! unaweza kupata vyote viwili kwa pamoja mf umepata furaha ya kupata kazi hapo hapo ukapokea taarifa ya msiba au kuachwa na mpenz umpendae yan umepata FURAHA na HUZUNI hapohapo...umefurahi kwa jamiiforums kufunguliwa mara hapohapo smartphon yako ikakwapuliwa na kibaka yan umepata FURAHA na HUZUNI hapohapo na mbaya zaidi inayochukua nafasi ya utawala ni HUZUNI.....kumbuka! unaweza kupatwa na huzuni na ukakosa tiba zaidi ya kutiwa tu moyo mf msiba...HITIMISHO! tunahusiwa kuridhika na kuwa na subira(kuto kukata tamaa).mwanadam kaumbwa katika mfumo wa mambo mengi (complex) hivyo si ajabu mtu kukosa furaha pamoja na kwamba kila kitu anacho ndio hapo utasikia mtu fulan ana GUBU au HUSDA yan kama mchawi fulani hivi yupo kama hayupo yan yupo mithil ya roboti.zingatia!wewe ni furaha ya mtu fulani(ukikukosa/ukifa) lazima apatwe na HUZUNI...FURAHA haidumu ila HUZUNI yaweza kudumu(walio matekani/kifungoni/kuzimu/uchawini/wagonjwa wa muda mrefu hadi mauti).....NARUHUSU KUKOSOLEWA JAPO NTAPATWA NA HUZUNI SO ILI NISIPATWE NA FURAHA.....
Umenifanya nihic sijapoteza muda kupitia uzi huu.. well said....
 

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,808
2,000
Kwangu mimi maisha ya furaha yanaambatana na vitu viwili, ufukara na positive mind ya kukubali ufukara.
 

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,191
2,000
Huu ni Uzi bora kabisa

Mtoa mada km ww ndio mwandishi wa makala hii basi Hongera sana mkuu mana Furaha ndo kila kitu kwenye Maisha.

Uwe unanitag kwnye nyuzi za saikolojia na za aina hii km hutojali.

Keep it up.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom