Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,430
2,000
Mimi napenda pesaaa yani pesaa nikiwa nazo nyingi furahaa ndo nakuwa nayo nikiwa sina akiii unaweza kuzani mgonjwaa

I say Amen to that.

Maana wengi humu sisi ni wanafiki..ohh..amani..mara furaha..mara nini.......... Utakuwa na amani kama unadaiwa bill au karo za watoto na huna hela? Utakuwa na amani kama hujui siku iaanzaje na kuishaje?

Kiukweli mengine ni ziada. Ukiwa na hela hayo mengine yatapatikana (you can afford best doctor in town, healthy food, usafiri mzuri, makazi ya kuishi bora, kumudu majukumu ya familia na kijamii.......the list is endless!).

By the way ni mara chache sana mtu mwenye pesa kuwa na roho mbaya! Na BILA PESA MFUKONI huwezi kuwa na confidence!
 
Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,671

aisee
 
Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,105
2,000
Ili uipate furaha halisi ya maisha utahitaji kitu kidogo sana!!

KUJIPENDA MWENYEWE NA KUKUBALI UHALISIA WAKO!! Mengine yatafuata tu I assure you!!

Ukijipenda utatamani kujua dhumuni la uwepo wako duniani, na matokeo ya kujua your true purpose ni forever happiness!! Why?
Simply hakuna atakaye kutawala, hakuna atakayekupangia muda wa kuingia kazini na kutoka coz u know who you are and why u exist!

Ukijua utofauti uliyopo kati ya kucheka na kutabasamu then utakuwa karibu sana kupata uhalisia wa kile nilichokizungumza!!

###Mr. Purpose!!
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,521
2,000
Talking 'bout Merry she gone with that male,

Don't sell me ur apartment I'll sleep in the lobby,

...
 
Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,417
2,000
I say Amen to that.

Maana wengi humu sisi ni wanafiki..ohh..amani..mara furaha..mara nini.......... Utakuwa na amani kama unadaiwa bill au karo za watoto na huna hela? Utakuwa na amani kama hujui siku iaanzaje na kuishaje?

Kiukweli mengine ni ziada. Ukiwa na hela hayo mengine yatapatikana (you can afford best doctor in town, healthy food, usafiri mzuri, makazi ya kuishi bora, kumudu majukumu ya familia na kijamii.......the list is endless!).

By the way ni mara chache sana mtu mwenye pesa kuwa na roho mbaya! Na BILA PESA MFUKONI huwezi kuwa na confidence!
Sawa kabisa mm pesaaa tu ndo nakuwa na furaha naweza fanya chochote kama nina madorali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom