Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

Andiko zuri Mkuu ila boresha kidogo matumizi ya kiswahili hasa tofauti ya H na I mfano umeandika Finland hilipo badala ya 'ilipo' na imeendelea kujirudia kwenye mada nzima.
 
do! inaonekana ni makala nzuri sana na tunaihitaji kwa mabadiliko yetu! tatizo mwendo kasi umesababisha tushindwe kusoma makala ndefu hii binafsi naahidi kuisoma baadaye.
asante kwa kazi kubwa ya kutafsiri.
 
karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom