Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

Kwa wasomaji wa Makala zangu ninafikiria kuwashirikisha katika kuuliza maswali mbali mbali ya Saikolojia na Mimi nitayajibu kwa kuyaandikia makala unaweza niuliza PM au hata hapa kawaida
Kama ukianza pia kunifollow utanisaidia kukufikia kwa urahisi.......Usiku mwema
 
Asante sana,

Natamani hizi mada zingeanza kufundishwa mashuleni kwa watoto wetu na wadogo zetu wanaoanza kupata ufahamu kuepusha majuto baadae.

Elimu ya Saikolojia ni muhimu sana.
ni kweli mkuu....usikose fuatilia pia sehemu ya pili hipo tiyari
 
Shukrani sana Mkuu endelea kutufunza.

NIMEINGIZA KITU KIPYA HAPA
 
Back
Top Bottom