SAIGON wa EATV yuko wapi?

SAIGON wa EATV yuko wapi?

Unaharibu mkuu,
KKZ ulikua wa Sos B " Wa Ma-Bi",
Saigoni aliimba huohuo wa "Are You Down with Diplowmatz"

Dah umenikumbusha wimbo wa kukurukakara niwa sos B.saigon alishirikishwa.poa sana mkuu.respect to you.
 
Jamaa ypo poa sana, kama kawaida, kalnye kalnye...ndan ya sinza kwa remmy, anaendeleza mapambano binafs ndan ya mtaa!Ntamwambia wana-JF wnakuulzia....

mkuu acha kudanganya Saigon anafanya harakati gani zaidi ya kulewa tu mda wote maviloba pale HalfLondon!
 
Saigon mzee wa kalinye kalinye episode arirudi zake L.A kupiga box
 
Huyu jamaa jembe tangu akiwa na DIPLOMATZ hz bongo flava ndo inaanza Tz!

Nakumbuka walikuwa watoto fulani wa kishua, walikuja na track yao moja ilikuwa inaitwa are u down! na moja siikumbuki ilikuwa na chorus, nanukuu "kukuru kakala zako we zitakuponza".

ah,
'KUKURU KAKARA ZAKO WE ZITAKUP0NZA',kwenye ngoma hii alikuwepo jamaa mmoja anaitwa SOSITHENES AMBAKISYE aka SOS B,naskia ni mmiliki wa Club le Mambo hapo xternal near Mabibo hostel
 
hoi hoi hoi kalinye kalinye Episodi again yan tena!!
 
Sijui kama kati yetu kuna mtu amepata kuisikia hyo ngoma yenyewe ya "KALINYE-KALINYE"?
Hahahahaha
Humo utamtambua Sygon, ni bonge la "Pin" alilipika Majani kipindi hcho 2005 kijana wakati kisharudi bongo toka UK, baada ya wapuuzi wengi kupakaza kuwa oh Sygon teja oh Sygon kadata oh sijui nini....
Kwa bahati mbaya sana hyo ngoma haikupata kupigwa kwenye redio nyingi (hasa ya wafu) hvyo haikuwa maarufu!
Magic Fm ndio waliipiga sana hasa kwenye kile kipindi cha Dj Mar-J kulikuwa na segment ya "NGUMU ZA BONGO" haikukaa sana hii segment sijui kwanini ila pale zilikuwa zinapigwa "Bongo hardcore hiphop" zile ngumu balaa, hata KALINYE-KALINYE ilikuwa ni track ngumu sana kwanzia beat hadi style nadhani Majani hakuifanyia Mixing sababu ilikuwa kavu sana,
ila kwa mtu mpenzi wa hiphop ngumu kama mimi KALINYE-KALINYE ni nyimbo tamu sana tena sana, naweza kusema miongoni mwa nyimbo kali za Sygon basi ile naiweka kwenye tatu bora!
KALINYE-KALINYE ni msemo wa mitaa ya kimasikini ukimaanisha kizazaa au heka-heka zitokanazo na rapsha fulani hivi mfano kama kitaa limetokea pila (yaani askari wenye difenda wamevamia maskani) katika masimulizi mtu atasema tu "jana hapa ilikuwa kalinye-kalinye", yaani palikuwa hapashikiki..... (tafsiri binafsi isiyo rasmi)
Hivyo katika hyo ngoma Sygon alikuwa anajaribu kuelezea KALINYE-KALINYE zinazoikumba dunia yaani nchi mbali mbali na hapa home Tanzania,
amezungumzia siasa ya kimataifa hasa current issues (kwa kipindi hicho)
na masuala mengine ya ki-music!

Mara ya mwisho mwaka juzi nilisikia stori kuwa Sygon yupo Iringa, kaoa mtoto mmoja wa kishua.......
Sikuthibitisha hizi taarifa!
Popote alipo namtakia maisha mazuri na yenye heri!
 
Nami namtakia maisha mema na marefu.
 
Jamaa alikuwa mzurisana kwa kile kipindi.

Saigon ni mzuri mpaka sasa kuna pin aliachia mara ya mwisho sijui mwaka jana mwishoni au mwaka huu mwanzoni ni hatari nimeisahau jina nkiipata ntakwambia!
Huwezi kumlinganisha na wasanii wengi wa sasa.
Saigon anaijua music kwa ujumla na hasa hiphop hichi ni kitu cha maana sana kwa mtu anayejiita anafanya music, tofauti na madogo wa bongofleva ambao wengi njaa ndio zimewaleta kwenye music na hawajui kitu kuhusu music achiliambali kuhusu music anayoimba.
Siku tutakapokuwa kuwa na Tuzo maalumu za hiphop (sio hzi za Kill Music) Saigon anastahili tuzo ya Heshima.
 
Saigon yupo Sinza. Ni ustaadhi pale msikitini Palestina na huwa anatoka kwenda maeneo mbalimbali kusambaza neno la Mungu (tabligh)..

Alitisha sana enzi zake! Ebana dah..
Kuna siku niliskia Efm kwenye kipindi cha ubaoni walidai jamaa sasa hivi ni pombe balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom