chundaji
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 491
- 338
😂😂😂😂😂Mama Rudia ana watoto wawili
Mtoto wa kwanza anaitwa Tena
Wa pili ataitwa Nani?....
A, a ,rudiaaaaaaMama Rudia ana watoto wawili
Mtoto wa kwanza anaitwa Tena
Wa pili ataitwa Nani?....
Utasikia Makinika,Elimika ki Hiphop Masharik kaskazin wote wanafeel Hiphop, Real Hiphop noma sana SaigonKiufupi huyu jamaa ana kipaji cha kufanya harakati.