SAIGON wa EATV yuko wapi?

SAIGON wa EATV yuko wapi?

Mara ya mwisho nilikutana nae Iringa ilikua 2014.. mpaka leo sijui yuko wapi
 
Huyu jamaa jembe tangu akiwa na DIPLOMATZ hz bongo flava ndo inaanza Tz!

Nakumbuka walikuwa watoto fulani wa kishua, walikuja na track yao moja ilikuwa inaitwa are u down! na moja siikumbuki ilikuwa na chorus, nanukuu "kukuru kakala zako we zitakuponza".
Kukuru kakara ilikiuwa ni track ya Sosi B.....sio ya group wala a Saigon......

Na nyimbo za hawa jamaa walikuwa wanatolea shooting ITV .....nashangaa mabwege hawa wezificha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa amemrudia Allah, yupo Islamic Foundation ya Morogoro ana vipindi TV na Radio Imani.

Harakati zake ni za dini kwa sasa.
 
Oi oi oi oi oiiiii!!!

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Dah! Maisha yanaenda kasi sana. Ile Hip Hop Base kilikuwa kipindi kimoja kikali Sana kwa wakati ule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom