Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?