Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?
 
Lunyungu Naomba Uheshimu Uhuru Wa Kuongea Pamoja Na Uhuru Wa Watu Wengine Usipende Kusema Uwongo Au Kuongea Vitu Ambavyo Huna Uhakika Navyo
 
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?

Umesema, sisi wa huku bongo tunawashauri Mwanahalisi wafungue account CRDB na NBC tutadeposit direct kwenye account zao. Nyie mlio ughaibuni kusanyeni hizo pesa then mzi tume huku
 
Sokomoko mimi na wewe tuko Dar .
Tuanze kazi na twende kazi tuache maneno time for action .Wanao lia lia tuwaache waendelee kulia na Lunyungu.Mimi nawagonga kichwani tu hadi waache u snitch .Hapa mada ibakie na si ya matangazo kama Yona Maro mchambuzi anavyo taka .Yona Maro wewe ni mchambzi na mwandishi anzisha blogu yako uweke masharti.Unadhihirisha madai yangu kila siku hapa .Yaan Said Kubenea kakaliwa vibaya na washikaji zako wewe bwana mdogo halafu unasemaje ?

Ukweli utabaki ukweli .Michango hima Michango.Let us transform maneno yetu katika matendo sasa .
 
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?

Mwanakijiji
Amekuwa akiishi kwa matukio kama misiba ili apate michango,kwanini akusanye yeye wakati hana elimu ya kutunza fedha na hana kibali cha kuishi marekani akipata deportation si ndio pesa zitakuwa zimepotea? tumieni ruzuku yenu mnayokula makao makuu.
Kwani Zitto Kabwe si ana uwezo kwanini asitafute vyanzo vya kuliendeleza gazeti lake? kuliko kupitisha bakuli hapa JF?
 
Kama huwezi kuchangia unaweza kunyamaza tu kwani hujalazimishwa kuchangia hapa.
 
Mwanakijiji
Amekuwa akiishi kwa matukio kama misiba ili apate michango,kwanini akusanye yeye wakati hana elimu ya kutunza fedha na hana kibali cha kuishi marekani akipata deportation si ndio pesa zitakuwa zimepotea? tumieni ruzuku yenu mnayokula makao makuu.
Kwani Zitto Kabwe si ana uwezo kwanini asitafute vyanzo vya kuliendeleza gazeti lake? kuliko kupitisha bakuli hapa JF?

This is too low .I have never expected such comments from someone like you .I thought you were a joker kumbe leo naamini sasa ni mtupu kweli kweli .What is the connection hadi uangushe matusi makubwa namna hii kwa Mwanakijiji ? Ulikuwa na ulazima wa kuandika kama hukuwa na hoja ama hukupenda jambo hili ? Chapa kazi utatambuliwa na Mwanakijiji anatambulila kwa michango yake ya aina zote .Na hata hili ni wazo si lazima awe mwanakijiji kupokea michango .Again naomba wenye nia tuendelee na michango .We can deposite pesa hizo kwenye account .Kubena come out toa Bank account ama Wakili wa Kubenea apewe hizi pesa .
 
Lunyungu,

Wewe achana na huyo kwa ni wasomaji makini wa JF wanamjua dada Chinga/mswahili/mtalii kuwa ni mpinga maendeleo ya Tanzania na kuwa chuki zake za kidini na kikabila zilimfanya atolewe London na kurudishwa bongo.

Hasira zimemjaa mama huyu kwa hiyo anachukia kuona maendeleo. Mchango wake hata kama akitoa itabidi upelekwe kule Bagamoyo kununua vitabu vya watoto wa shule.
 
Bwana Kubenea Kesho Nitakuja Oofice Kwako Hapo Mwananyamala Kutoa Mchango Wangu Na Kuongea Zaidi Na Wewe Kuanzia Saa 11 Jioni
 
This is too low .I have never expected such comments from someone like you .I thought you were a joker kumbe leo naamini sasa ni mtupu kweli kweli .What is the connection hadi uangushe matusi makubwa namna hii kwa Mwanakijiji ? Ulikuwa na ulazima wa kuandika kama hukuwa na hoja ama hukupenda jambo hili ? Chapa kazi utatambuliwa na Mwanakijiji anatambulila kwa michango yake ya aina zote .Na hata hili ni wazo si lazima awe mwanakijiji kupokea michango .Again naomba wenye nia tuendelee na michango .We can deposite pesa hizo kwenye account .Kubena come out toa Bank account ama Wakili wa Kubenea apewe hizi pesa .

Nina heshima kubwa kwako,kusema kuwa Mwanakijiji ak.a mwafrika wa kike si muaminifu ni kosa? ungeuliza ushahidi sio kunishambulia tu. nina ushahidi wa utapeli wa huyu Mwafrika wa kike kitendo cha yeye mwanaume kutumia majina ya kike ni utapeli tosha,
huyu alituchangisha maiti ya Tobby huku walikuwa pamoja kwenye biashara zao chafu.
michango ya Ukraine alikula Mwanakijiji acha kupenda kijinga kama zezeta.
 
Umesema, sisi wa huku bongo tunawashauri Mwanahalisi wafungue account CRDB na NBC tutadeposit direct kwenye account zao. Nyie mlio ughaibuni kusanyeni hizo pesa then mzi tume huku
Apewe nani? Mwanakijiji sio muaminifu amekula hadi michango ya yatima Kilimanjaro. kwanini msimpe Kitila Mkumbo ni makini ukiacha ujinga wake wa kutumia jina la kizanzibar huku hajui hata linavyoandikwa.
 
Nina heshima kubwa kwako,kusema kuwa Mwanakijiji ak.a mwafrika wa kike si muaminifu ni kosa? ungeuliza ushahidi sio kunishambulia tu. nina ushahidi wa utapeli wa huyu Mwafrika wa kike kitendo cha yeye mwanaume kutumia majina ya kike ni utapeli tosha,

Mtu kama yeye mwenye kashfa kibao una sauti gani hapa ya kutoa conclusive remark. Kujiita mwanamme wakati mwanamke unadhani ni kila mtu anafanya hivyo.

Kila mtu hapa unadhani ni mwanaume. Umwemwita bi sent na da asha kwa majina mengine na sasa unataka kuleta hili kwangu. Kitu kimoja tu kinakuangusha ni kuwa una chuki na hasira baada ya kufukuzwa kazi kwa chuki zako za kikabila na kidini na baada ya RO na KIkwete kupata somebody else.

katika hili unacheza bado na moto.

huyu alituchangisha maiti ya Tobby huku walikuwa pamoja kwenye biashara zao chafu.
michango ya Ukraine alikula Mwanakijiji acha kupenda kijinga kama zezeta.

Alikuchangisha na nani? Unadhani hata ukileta udaku wako hapa ndio utakuwa umezuia michango ya kumsaidia Kubenea?

Wewe huo mchango wako wa kifisadi peleka huko huko makao makuu ya kifisadi.
 
Apewe nani? Mwanakijiji sio muaminifu amekula hadi michango ya yatima Kilimanjaro. kwanini msimpe Kitila Mkumbo ni makini ukiacha ujinga wake wa kutumia jina la kizanzibar huku hajui hata linavyoandikwa.

Usijikombe kombe kwa Kitila Mkumbo!
 
Lunyungu,

Wewe achana na huyo kwa ni wasomaji makini wa JF wanamjua dada Chinga/mswahili/mtalii kuwa ni mpinga maendeleo ya Tanzania na kuwa chuki zake za kidini na kikabila zilimfanya atolewe London na kurudishwa bongo.

Hasira zimemjaa mama huyu kwa hiyo anachukia kuona maendeleo. Mchango wake hata kama akitoa itabidi upelekwe kule Bagamoyo kununua vitabu vya watoto wa shule.
huyo dada wa London unamsema sana kakuchukulia Mbowe wako? mzee mzima au chupa ya wine? chuki za kidini na kikabila mnazo Chadema ndio maana mmeunda chama chenye mlengo wa kikabila na ukristu.
Shame on you.
 
Usijikombe kombe kwa Kitila Mkumbo!

Mie sina chuki za kijinga kama wewe Mwanakijiji ambaye unachuki tu kila kitu kwa failure yako ya maisha.Kitila ana nini hadi nijikombe wakati kafukuzwa hadi na Mrema? ukweli ni muaminifu kuliko wewe.ambaye unaishi kwa misiba, migomo. JF na KLHNEWS.
 
Mwanakijiji
Amekuwa akiishi kwa matukio kama misiba ili apate michango,kwanini akusanye yeye wakati hana elimu ya kutunza fedha na hana kibali cha kuishi marekani akipata deportation si ndio pesa zitakuwa zimepotea? tumieni ruzuku yenu mnayokula makao makuu.
Kwani Zitto Kabwe si ana uwezo kwanini asitafute vyanzo vya kuliendeleza gazeti lake? kuliko kupitisha bakuli hapa JF?

Heeee huyu jamaa vipi?
Zitto anawafanya mnaweweseka enhh? I can see!
 
Mtu kama yeye mwenye kashfa kibao una sauti gani hapa ya kutoa conclusive remark. Kujiita mwanamme wakati mwanamke unadhani ni kila mtu anafanya hivyo.

Kila mtu hapa unadhani ni mwanaume. Umwemwita bi sent na da asha kwa majina mengine na sasa unataka kuleta hili kwangu. Kitu kimoja tu kinakuangusha ni kuwa una chuki na hasira baada ya kufukuzwa kazi kwa chuki zako za kikabila na kidini na baada ya RO na KIkwete kupata somebody else.

katika hili unacheza bado na moto.

Alikuchangisha na nani? Unadhani hata ukileta udaku wako hapa ndio utakuwa umezuia michango ya kumsaidia Kubenea?

Wewe huo mchango wako wa kifisadi peleka huko huko makao makuu ya kifisadi.
pole sana kwa ujinga wako ndio maana umeshindwa hata kupata kibali halali cha kuishi huko. RO na JK wanakunyima raha kiasi hicho? hawatumii makombo ya Mbowe.
 
huyo dada wa London unamsema sana kakuchukulia Mbowe wako? mzee mzima au chupa ya wine? chuki za kidini na kikabila mnazo Chadema ndio maana mmeunda chama chenye mlengo wa kikabila na ukristu.
Shame on you.

Wewe inabidi uukubali ukweli kuwa wakristo wapo Tanzania to stay kwa hiyo hata ufanye vipi watakuwepo tu hapo. Zaidi sana unajiharibia hata nafasi kidogo uliyokuwa nayo ya kurudi angalau hata kwenye ofisi ya katibu wa ccm!
 
pole sana kwa ujinga wako ndio maana umeshindwa hata kupata kibali halali cha kuishi huko. RO na JK wanakunyima raha kiasi hicho? hawatumii makombo ya Mbowe.

Umetoswa mama naona chuki baada ya chuki zinakujaa kila siku. Umri nao umekupita kiasi kwamba sijui utafanya nini maana kwa rants zako na matusi yako utafungiwa hapa JF na utakosa pa kutolea matusi yako dhidi ya dini zingine!
 
Back
Top Bottom