Kama ni kurogwa basi wewe utakuwa mrogaji nambari one uliyewaroga Chadema waue ili wakuletee damu ya mtu unywe. upate madaraka. nenda shule ya maadili wewe madaraka hayatafutwi kwa ndumba siku hizi shule tu tena zenye kuelimika na sio madarasa ya kufungua baa za pombe na casino halafu mnataka siasa za kulazimisha sijawahi kuona watu wenye taaamaaa zinazo mzidi fisi kama ninyi, na hata kama mtakabidhiwa nchi si ndo damu itaenea kila mahali. karoga wenzako mm huniwezi.Jambo afande Shilogile!
Huko kwetu ninakotokea na bila shaka hata wewe unatoka hukohuko kulingana na hili jina!Je,uliwahi kuuliza maana ya jina hili? Basi kikwetu maana ya SHILOGILE ni vitu vilivyo ROGWA kwa maana hiyo Kamanda Shilogile ni mtu aliyerogwa na ndiyo maana anafanya hivi vituko pale Morogoro!
yeah na wao pia wameunda serikali na ndio wanafanya uteuzi wa wakuu wa vyombo vyao mbalimbali vya dola.
mwema kamuoa yeye!!!!hahahahaha!nani kamuolea mwenzake?
?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli akili ni nywele ................................Kama ni kurogwa basi wewe utakuwa mrogaji nambari one uliyewaroga Chadema waue ili wakuletee damu ya mtu unywe. upate madaraka. nenda shule ya maadili wewe madaraka hayatafutwi kwa ndumba siku hizi shule tu tena zenye kuelimika na sio madarasa ya kufungua baa za pombe na casino halafu mnataka siasa za kulazimisha sijawahi kuona watu wenye taaamaaa zinazo mzidi fisi kama ninyi, na hata kama mtakabidhiwa nchi si ndo damu itaenea kila mahali. karoga wenzako mm huniwezi.
U are very right man.hapana. nasikia mtalaka wa mwema ndiye nduguye JK.
acha kuleta ufataani wako!
Tujaribu kusogeza hoja hii kwa marekebisho ya Katiba kwamba potelea mbali ili Rais aweze kumteua mwanaye/mkewe/shemejiye/swahiba n.k kuwa Mkuu wa Majeshi,IGP,Kamishna wa Magereza au Jaji MKUU kuwepo na mfumo ulio huru wa kuwasaili watu hao tena wapeleke maombi na wakiisha kusailiwa ndipo uteuzi ufanyike.Kama Kenya wenzetu Jaji MKUU ANAPATIKANA KWA USHINDANI NA WAMEWEZA SISI TUMEROGWA?
Hivi Ndesamburo na Grace wameshika wadhifa gani Chadema vile?
Sasa mkuu umeishiwa hoja!.. swali limeulizwa kuhusu matendo ya Mwema na Ushemeji, wewe unaleta ya JK na mama Salma!
Mwema aliingia na focus kubwa kwelikweli ya kufanya/tenda kazi kwa haki sambamba na kuboresha jeshi lenyewe lkn madudu ya wanasiasa waliomteua yamembadili kabisa
Nashukuru kwa kulielewa hilo.?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli akili ni nywele ................................
Hivi hawa ni mke na mume au hawara na mtu wake?Sasa mkuu umeishiwa hoja!.. swali limeulizwa kuhusu matendo ya Mwema na Ushemeji, wewe unaleta ya JK na mama Salma!