Sagula Sagula Ya Mtaa Wa Kongo

Sagula Sagula Ya Mtaa Wa Kongo

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

10885183_833531930042330_271288889506985783_n.jpg
 
Unajikuna unapofikia mkuu, watuhumiwa wa Escrow na wenzao wa aina hiyo na familia zao huwakuti hapo
 
sagula ni kiwapi hiki...............semvula chole?
 
humu inaonyesha wengi hamuendi kariakoo jinsi mnavyoogopa kuibiwa...
 
Kariakoo pale kuna watu wanakaba kabisa mchana kweupee.

mkuu acha kukuuza mambo....kariakoo ukiniambia wapiga ndole,wachana mikoba,kanyaboya sawa ila wakabaji hakuna na huwa wanaangalia uwe me/ke ukikaa kifalafala unaibiwa ila ukiwa mjanja hawasogei...trust me wanajua huyu boya au vipi
 
Sio kukuza mambo, ninavyojua wezi wanapiga ndole kwenye mikusanyiko au wanapangusa mdudu, lakini ile ya Kariakoo ni sawa na kukaba tu, kwasababu victim huwa anavutwa kwa nguvu upande mmoja na upande mwingine anaibiwa. Au niseme hivi, mtu anaepigwa ndole (pick-pocket) hajui ila anakuja kugundua baadae wakati ameshaibiwa, lakini kwa Kariakoo sio hivyo, mtu anavutwa kwa nguvu na anajijua kabisa sasa naibiwa, sasa ule si sawa na ukabaji tu.

Halafu hii ya kuwaita watu wanaoibiwa ni wajinga wajinga zinanijia hisia kama na wewe ni mwizi vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom