RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,505
- 139,555
Sio kukuza mambo, ninavyojua wezi wanapiga ndole kwenye mikusanyiko au wanapangusa mdudu, lakini ile ya Kariakoo ni sawa na kukaba tu, kwasababu victim huwa anavutwa kwa nguvu upande mmoja na upande mwingine anaibiwa. Au niseme hivi, mtu anaepigwa ndole (pick-pocket) hajui ila anakuja kugundua baadae wakati ameshaibiwa, lakini kwa Kariakoo sio hivyo, mtu anavutwa kwa nguvu na anajijua kabisa sasa naibiwa, sasa ule si sawa na ukabaji tu.
Halafu hii ya kuwaita watu wanaoibiwa ni wajinga wajinga zinanijia hisia kama na wewe ni mwizi vile.
ha ha ha ha wezi wanaangalia.....ukikaa kifalafala lazima ulizwe unafikiri wanavamia tu yeyote