roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
Kama mzizi uliomsimika makonda na kumshilia bas utakuwa ni mpingoHaya endeleeni kupalilia ujinga huu, siku ukiingiliwa ndani ya nyumbayakondiyo utajua haya si mambo ya wapinzani.

Great!Mimi mbona hata hiyo approach ya Makonda kwenye madawa ya kulevya niliipinga na kuilaani...
Najua jinsi nchi za wenzetu huko wanavyofanya kazi kuhusu hayo mambo.
Najuana ex convicts ambao walikuwa nyuma ya nondo kutokana na masuala ya mihadarati.
Najua jinsi vice squads za wenzetu zinavyofanya kazi.
Kwa hiyo mimi si mmoja wa watu ambao walibariki approach ya Makonda.
It was no just amateurish. It was downright stupid.
Wauza unga ndio walimwelekeza atumie cheti kisichokuwa chake?Mkuu hizo kelele ni za watu wa upande wa pili hasa wanaohusika na madawa ya kulevya,mbona hapo nyuma Makonda alifanya maamuzi mengi yenye kutia shaka na hatusikia hizi kelele .Kuna watu wanataka Makonda asurubiwe kwa kuwagusa wauza unga na hiyo inaonyesha kweli kwamba Makonda amefanya kazi nzuri na amewashika pabaya wauza unga hasa hao wauza unga madhahabuni na kwenye siasa na wengine waowatetea dada zao kwa sababu wanazozijua wao wenyewe hadi wanjitoa ufahamu eti kwa kuwa wengine ni brand zilizojengwa kwa muda mrefu.
Wewe ke.nge kuwa na adabu, LB7 ni bibi yako na waliokuzaa, mimi sio hao mbuzi unaotaja na kama hujui kusoma nenda jukwaa la watoto, hebu soma tena halafu shika adabu yako, kwanza huu ni muda wa kufanya kazi mlizopewa na walimu wenu huko shuleKwa hiyo vyeti katafutiwa na aliyemuwea?LB7 mmekosa cha kuandika
Wewe ndie uliosoma kuanzia kote huko hadi Chuo cha Ushirika Moshi,kutumia vyeti kwa ajiri ya kurudia hapo siku za nyuma ilikuwa jambo la kawaida tu na sio Makonda ndie alianzaWauza unga ndio walimwelekeza atumie cheti kisichokuwa chake?
Ndio walimpeleka clouds media na maaskari wenye slaha usiku?.
Wewe ndie uliosoma kuanzia kote huko hadi Chuo cha Ushirika Moshi,kutumia vyeti kwa ajiri ya kurudia hapo siku za nyuma ilikuwa jambo la kawaida tu na sio Makonda ndie alianza
Naamini wengi wenu humu ndani leo mlitegemea mkuu wa mkoa wa Dar kutumbuliwa na mheshimiwa mtukufu rais wa JMT.
Imani hiyo naamini iliongezwa na utolewaji wa video ya usalama ya kituo cha habari na burudani cha Clouds ambapo mkuu wa mkoa alionekana akiingia na askari wenye bunduki kwenye ofisi za kituo hicho majira ya usiku.
Hilo la kutumbuliwa halijatokea na kusema ukweli mimi sikuwa nategemea litokee hapo Ubungo mbele ya kadamnasi [ingawa Magu na huyo Makonda wake wameshawahi kumtumbua mtu hadharani]. Sikutegema wao kwa wao watumbuane hadharani.
Kwa jinsi rais Magufuli alivyo na kwa jinsi suala zima la vita dhidi ya Makonda linavyoendeshwa hivi sasa [kiudaku udaku hususan huku mitandaoni] mimi sitegemei kuona wala kusikia kuwa Makonda atatumbuliwa hivi karibuni. Uwezekano wa kutumbuliwa upo ila uelekeo wake mimi siuoni.
Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu nadhani Magufuli akifanya hivyo atakuwa kama kasalimu amri ya shinikizo linalotoka huku kwenye mitandao na sidhani yuko tayari aonekane kasalimu amri.
Naamini kabisa Magufuli naye anayaona makosa ya Makonda. Ila sidhani kama 'ego' yake itamruhusu kufanya vile ambavyo wengi, hususan huku kwenye mitandao, wanataka afanye. Akifanya hivyo itakuwa ni kama kawapa ushindi wapinzani wake.
Baada ya muda suala hili la Makonda litapoa tu. Sina hakika itachukua muda gani lakini naamini litapoa tu.
Likishapoa ni imani yangu pia kuwa hapo ndo utakuwa mwanya wa Magufuli 'kumpangia' Makonda shughuli nyingine.
Lakini kwa sasa jinsi mazingira yalivyo [mipasho madhabahuni, matusi mitandaoni, drama magazetini, n.k.] sidhani kama yanampa rais nafasi nzuri ya kufanya kile ambacho wapinzani wake wanamtaka afanye.
Naona labda hataki kuweka precedent ya kuyumbishwa na kelele za watu. Tena watu wanaomtukana hadi matusi ya nguoni. Watu wanaomzushia kila aina ya uzushi. Watu wamefikia hadi hatua ya kudokeza kwamba Makonda na Magufuli ni wapenzi....seriously?
Mtu mnamtukana hivyo halafu bado mnategemea afanye jambo la kuwasuuza nyoyo zenu? Acheni masikhara bana.
Ila muda utatuonyesha tu....tusubiri tuone.
NYONGEZA YA NUKUU
"Mimi huyu uniingilie..ukiniingilia ushapoteza kabisa"
"Mimi huwa sipangiwi mambo"
"Mimi ni rais ninayejiamini"
"Siwezi nikapangiwa mtu"
"Ninapanga mimi"
Video hii hapa chini.
Hizo nukuu za rais zinaipa nguvu hoja ya kwamba kwa sasa hizi kelele za watu kupitia mitandao ya kijamii hazitamfanya achukue uamuzi wa kumtumbua Makonda.
Ego tripping on steroids.
sina lakukujibu beba ujinga wako tuHuku mnakesha mitandaoni kushinikiza makonde atolewe ukuu wa mkoa.....afu unalalamika kuna njaa mtu mda mwingi anasubiri kuona mange kapost nn mara gwajima utapata mda kwl wa kujitafutia riziki......
Viroba ndo tatzo linaloangamiza vijana wa bavichasina lakukujibu beba ujinga wako tu
vinachangia kiasi gani kwenye budget ya nchi??ukikuwa njoo ni kujibuViroba ndo tatzo linaloangamiza vijana wa bavicha
Ndo maana vikafutiliwa mbali maana havina faida.....amka ushughulishe ubongo wako usiwe mtumwa wa fikravinachangia kiasi gani kwenye budget ya nchi??ukikuwa njoo ni kujibu
ukikuwa ukiacha utoto njoo tuzungumzeNdo maana vikafutiliwa mbali maana havina faida.....amka ushughulishe ubongo wako usiwe mtumwa wa fikra
Kweli kweliAsimtumbue tu ili azidi kututia hasira na tuzidi kuzijua zaidi tabia zao.
Mjinga mpe sifa.
Double standard.