Msaada: Dar to Iringa na Boxer naombeni uzoefu wenu

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Wataalam za wakati huu..

Kijana wenu hapa nayependa Road trip but kwa pikipiki, last time nilisafiri na pikipiki cc110 kutoka Dar to Dodoma (kwenda na kurudi) pia nikasafiri tena toka Dar to Tanga (kwenda na kurudi).

Safari zote zilikuwa safi sana hakuna changamoto niliyokutana nayo toka naondoka Dar hadi nafika Tanga na Dodoma.

Sasa now nimepata nafasi nataka nisafiri kwenda Iringa lakini nataka nisafiri na Boxer 125, sijawai kutumia Boxer 125 safari ndefu ila hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza kutumia Boxer safari ndefu.

Nimepanga kuondoka Jumamosi Asubuhi na nirejee Dar jumatano sababu nikitoka Iringa nataka nipitie njia ya Dodoma.

Naombeni ujuzi wenu wa barabara ya Iringa na madhira ya Boxer safarini ikoje.

NB: Napenda sana kusafiri kutumia pikipiki inshort ipo kwenye damu sema huwezo wa kununua yale makubwa ndo sina ila Mungu akijalia one day nitakua nalo kubwa.

Nina hela ya kutosha ya Kubanda Bus ila kwangu mimi Pikipiki ni Amani na ninafanya Adventure
 
Piga makoti mazito kwa usalama Ila hapo ni kugusa tu masaa kadhaa umefika
 
Mbuga ya wanyama haikutishi?
 
Ngoja Simba au chui akuungie trelaa utaelewa fresh
 
Sioni kama kutakua na shida usiogope wanyama, sidhani kama wewe ndio wa kwanza kupita na pikipiki ile mikumi.
 
Sijaelewa hapo kupita njia ya Dodoma wakati route yako ni Dar to Iringa na kurudi ni Iringa to Dar.
 
Back
Top Bottom