Safi sana Mheshimiwa John Heche!

Safi sana Mheshimiwa John Heche!

Massive big up for staying on code.

Jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Mheshimiwa John Heche mara kadhaa alimtaja Samia kwa majina yake tu.

Hakutaja rais wala dokta. Kamtaja Samia Suluhu Hassan tu.

Mheshimiwa Heche kanifurahisha sana.

Samia siyo rais na wala siyo dokta. Machawa pigeni ngumi ukutani halafu mkimaliza mnaweza kunitafuta niwapige makonzi.

Muuaji asiye na sifa za kuitwa Rais au dokta, aitwe kwa majina yake tu.

View: https://youtu.be/PrtS8B8uPiA?is=Dvmlaqc9m9oLoV4U

Bradigasatayaaaa
 
Darasa la 4 B anataka kila mahali aitwe dakitari
 
pia Mimi nili-detect hiyo. Good!
 
Unateseka na utazidi kuteseka sana!
Umemsikia huyo mmoja umekuja kuanzisha uzi.
Ikiwa TEC wanamwita Rais, SADDC wanamwita Rais, AU wanamwita Rais, UN wanamwita Rais, marais wote duniani wanamwita Rais, hata wafalme wanamwita Rais, nk. Wewe na Heche nani anawasikia huko duniani msipomwita Rais.
Umebeba ujinga baada ya kuishiwa
Hata wa Cote de Ivore Anaitwa rais. Issue sio kuitwa, issue ni umeupataje huo urais.
 
Massive big up for staying on code.

Jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Mheshimiwa John Heche mara kadhaa alimtaja Samia kwa majina yake tu.

Hakutaja rais wala dokta. Kamtaja Samia Suluhu Hassan tu.

Mheshimiwa Heche kanifurahisha sana.

Samia siyo rais na wala siyo dokta. Machawa pigeni ngumi ukutani halafu mkimaliza mnaweza kunitafuta niwapige makonzi.

Muuaji asiye na sifa za kuitwa Rais au dokta, aitwe kwa majina yake tu.

View: https://youtu.be/PrtS8B8uPiA?is=Dvmlaqc9m9oLoV4U

Chadema ,wamfunge lissu, heche ,makatibu wakuu bara na zanziber haiwezi kufa
1 muundo wa chadema ni complicated
2 viongozi wao anzia chini wana maono makubwa sana. Ccm kubali yaishe hakuna namna, wananchi wamewakataa why mmetoka kwenye misingi ya uazishwaji wa lichama lenu
 
Samuya akichanwa ukwel ndio anazidi kuwa na chuki dhidi ya hao wanaomkosoa (chadema)
Yeye anapendwa kusifiwa japo kinafki bahati mbaya kwake sio kwa chadema hii ya lissu na heche!!.
akisikia ukweli anatishika utasema kaona jinamizi na sababu ni lioga anaamua kuzizima sauti za ukweli ili asiendelee kuogopa. Na laana hii itampalia vizazi na vizazi
 
Sangwenya,
zaidi ya kutukana na kuporomosha matusi jukwaani, hakuna kitu unaweza fanya, pamoja na Masangwenya wenzako :pedroP:

and the country is currently moving forward smoothly regardless of your nonsense insults 🐒
Mkuu pole na kazi
 
Ama kweli michadema imeishiwa; ndo ujinga gani huu Sasa?!!!! Vipi, mnaenda lini tena kumtoa pale ikulu kama mlivyotaka kufanya okt 29?!!! 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom