safe days za mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

safe days za mapenzi

Discussion in 'JF Doctor' started by Kilahunja, Feb 26, 2012.

 1. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nisaidien elimu ya kufanya mapenzi katika siku salama, unazihesabu vipi madaktar wangu? mfano mtu ameanza kublid tarehe 23 alafu kamaliza tarehe 27 mwez wa pili, lini anaweza fanya mapenz na asipate mimba.
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Safe days inategemea na mzunguko wa muhusika. Ni vyema kufika kituo cha afya kupata elimu juu ya njia husika ukiwa na ufahamu wa mzunguko wako,
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  Huyo mtu atakuwa mgonjwa, haiwezekani ablead mwezi mzima na siku nne, labda niwe sijakuelewa
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  haha hii si ni february? Imagne kaanza tarehe 23 kamaliza 27, so anaenda siku tano.
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mzunguko ni 32 days
   
 6. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Inategeme na mzunguko range ya wengi huwa ni 28-42 lakini wengi wao huwa ni siku 28 . Kama anasiku 28 za mzunguko na amebleed tarehe 23 hadi tarehe 27 feb kuanzia tarehe 28-feb hadi tar 4-march safe day tarehe 5 hadi 12 march ovulation ukigusa tu mimba tarehe 13 march hadi tarehe 23 safe day march baada ya hapo menstruation yaani bleeding .kawa vp tupe siku zako tukupe mzunguko
   
 7. libent

  libent JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naskia usingizi ngoja nilale nitacomment kesho
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu unaweza ku-google Natural family planning method au Billings ovulation method uisome then twaweza kujadili vizuri.
   
 9. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu the normal menstrual length is from 21-35 days and a flow of 3-7 days with changing of pads 2-3 times a day is considered a normal flow. Hapo ndo twasema kila mwanamke has her own ovulation time. Mfano a woman with 26 days cycle will be ovulating around day 12 while Yule Wa 28 days cycle it will be day 14. Kumbuka mbegu za kiume can stay in a female genital alive for 72 hour meaning siku tatu! This is to say fertilization can take place the time you are not expecting if you don't follow the calendar including watching the vaginal mucous changes   
 10. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  senkyuni.
   
 11. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ni kweli kabisa cha msingi zaidi hesabu siku 14 tangu uanze bleed na uweze kumoniter hali ya unyevu na ukavu ukeni hali ya ukavu huwa ni salama na unyevu ni hatari coz sperm huwa active kwenye unyevu na ukavu hushindwa kuogelea hivyo ufa.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  "Miruzi mingi humpoteza mbwa" Michango yote ni mizuri sana kwa ufumbuzi wa tatizo,lakini kama vp tembelea Kituo cha "Baba,Mama&Mtoto. Baada ya ushauri huu take note ili iwe rahisi kujua mzunguuko wako ni wa siku ngapi? Kila la heri.
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  JF patamu sana!!kwi kwi kwi!!
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mkuu naona unataka kuweka heshima.utupe feedback after that
   
 15. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Chukua hizo 32/2= 16, ili upate danger days chukua 16-5= 11, 16+3=19. Kwa hiyo danger days zako zitakuwa kati ya siku 11 hadi siku ya 19 tangu uanze bleeding. Zilizobaki zote ni safe days. This is simple formular for a person like you.
  Enjoy with your husband or boyfriend.
   
 16. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  boss haya mambo we yaache tu, katika mzunguko wa mwanamke wapo kwenye makundi matatu short cycle, medium na long cycle. Wenye short cycle ni siku 21, medium 28, long cycle 35. Kwa hiyo si wananawake wote wanamizunguko inayofanana. Ila waliowengi wapo kwenye medium cycle.
  Naomba tukupe shule mpya usije mleta mkeo if your a male ukisema hapati siku zake au anapata mara mbili kwa mwezi
   
 17. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  jaman mimi ni mwanamke.
   
 18. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  thank u dearest.
   
 19. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hahahaha hata wewe unaweza weka heshima.
   
 20. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  kwa wale ambao siku za mzunguko wao ni siku 28 tu,siku anayoanza kupata hedhi ihesabu ni siku ya kwanza, endelea hivyo kwa kuhesab vidole vyako kwa kuoanisha na tarehe ya mwezi hou hadi siku ya 14.Siku ya 14 ni siku ya kupata mimba hivyo siku hiyo ni hatari kwani yai linatoka kwenye vifuko vyake siku ya 14.mf kama hedhi imeanza tar 23,siku ya 14 ya siku zako ni tar 7 march.

  NOTE:
  Kwa kuwa mbegu za kiume hudumu kwa muda wa saa 72(siku 3) kwa X na 48(siku 2) kwa hiyo chukua tar 23 march utoe siku 5(siku 3 kati ya hizo ni za hatari ni lazima utapata mimba na siku 2 ni za tahadhari).So utajikuat kuanzia tar 2 march usifany mapenzi.
  Then kumbuka yai la kike hudum kw muda wa saa 36(siku 2 na saa 12) so ktk ile tar 7 march ongeza siku nyingine 3(mbili za hatari na 1 ya tahadhari).
  Hivyo kuanzia tar 2 march - 10 march pumzika anza tar 11 march.....hadi ukutane na hedhi nyingine au hata ukiendelea ku...ukiwa kweny hedhi hutapata mimba,
   
Loading...