twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Kwenye ubora wako.....Karibu sana ukifika nipm zipo nyingi mpya na nzuri kwa bei hiyo
Kwenye ubora wako.....
ACHANA NAO HAO HAWAJAFIKA MANZESE KUONA WAKINGA WANAVYOFANYA MAAJABU HADI LIFT ZA NJE NDANI SIYO KITOTO MANZESE KUNA HOTEL ZA QUALITY ZA AINA ZOTE KULINGANA NA MFUKO WAKO TUEraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silali
MKUU MANZESE NI KILA KITU KIPO SINZA ZIMEJAA BAR TUEraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silali
WAKINGA WAMEIBADILISHA MANZESE HOTEL HADI ZINA LIFT NI HATAREE MKUUWakinga wana hotel ngapi hapa Dar niwapongeze hawa watani zangu.
Mic Hotel room zinaanzia elf 40 nilikua huko juziUsidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000
[emoji30] [emoji3] [emoji30] na mahandaki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]MKUU MANZESE NI KILA KITU KIPO SINZA ZIMEJAA BAR TU
Nishampokea mkuu,ahsante kwa ukarimuKaribu sana ukifika nipm zipo nyingi mpya na nzuri kwa bei hiyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nishampokea mkuu,ahsante kwa ukarimu
Umenena vyema mkuu,hizi za elfu 20 unaweza kuta taulo limefutiwa viatu na halijafuliwaKwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=
Sinza kijiweni kuna Golden park na pacha yake iko jirani nimeisahau jina.
Hiyo 20,000/= au 30,000/= waweza ishia nyumba za ngono tu ambazo ni maalum kwa watu kulana mauloda.
Hotel zina raha na status yake, si kila anayelala hotel yupo kwenye malengo ya ngono na ndio maana hazina short time.
Mimi nimekoma kulala kwenye Guest house maana yale mashuka yananukia janaba muda wote tena waweza jitia nuksi tu.
Mbulu hapana sio huku, unajua 20000 ni pesa kubwa sana yaani wekundu wawili? Hiyo huku unapata chumba very standard lakini kwa sinza utapata kama hicho unachosemaUmenena vyema mkuu,hizi za elfu 20 unaweza kuta taulo limefutiwa viatu na halijafuliwa
Hakuna madimbwi kipindi hiki. Me nlikuwa G Roland. Napo sio pabaya. 35,000/-Ajiandae pia kuruka madimbwi ya majimachafu
Buguruni karibu na makutano ya uhuru na Mandela kuna New Apex nao wako vizuri.Hata buguruni na vingunguti kuna mabadiriko makubwa ya miundombinu baada ya kunufaika na mradi wa World bank wa DMP, but/lakini buguruni itabaki kuwa buguruni na uswahili wake halikadhalika na Vingunguti pia.
Same applies to Manzese.
Lakini manzese vibaka na kelele ni nyingi aiseeEraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silali
UNATOKA MKOA GANI? MBONA UMELIWA PESA YAKO KWA BEI HIYOHakuna madimbwi kipindi hiki. Me nlikuwa G Roland. Napo sio pabaya. 35,000/-
Kibadamo safi sana. Hata breakfast ni buffenUsidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000