Azpilicueta
Member
- Sep 8, 2021
- 85
- 100
duuuu em toa uchizi umesomea ujinga shule, kwa magu atujawahi kuwa na mfumuko kama huu wala fedha kukosa thamani unashika ten kama buku sokoni, uo uchumi unaosema ni role ya watu wachache sio watanzania, wezii samia na watu wake wana tudhulumu haki zetuGharama kiasi gani? Je hizo gharama zina impact gani kwenye hili ongezeko la pato la Taifa?
View attachment 2912570
Mfano Toka Magu aingie Madarakani hakuna mwaka ambao pato la Taifa limeongezeka zaidi ya 5B usd, ila miaka 3 tu ya mama ongezeko la zaidi ya 7B kila mwaka, je hizo Extra income compare na Gharama za usafiri ni worth it?
Hakuna maana yoyote ya wakuu wa nchi kukutana mara kwa mara.Tangia lini balozi akachukua nafsi ya Rais? Balozi atasaini na kujadili kila mkataba? Atakaa mezani na kufanya maamuzi kama ambayo yangefanywa na mkuu wa nchi? Basi kama ndio kusingekuwa na maana ya wakuu wa nchi kukutana sehemu yoyote ile maana kazi hiyo ingefanywa na mabalozi tu.
Namibia sio nchi muhimu sana kwa Tanzania kiuchumi au kisiasa. Kama sisi tuliwasaidia kupigania uhuru Rais wao ndio anatakiwa aonekane mara kwa mara Dar es Salaam na sio kinyume chake.Namibia si some random country, kuna uhusiano mkubwa kati ya Tanzania na Namibia, wa Namibia wamekaa sana Tanzania wakipigania uhuru.
Rais Museveni wa Uganda alihadithia jinsi alivyokaa Upanga wapigania uhuru wa SWAPO.
Samia ana kazi ya ku repair some of the damage done by Magufuli during his isolationist era.
Rais wa nchi ana kazi yenye sura ya ndani ya nchi na nje ya nchi.
Na hata kama anatakiwa apunguze safari, si busara kukata safari za mazishi kwenye nchi yenye uhusiano mzuri nasi kama Namibia.
Aliyefariki Namibia ni head of state, ni rais, si VP. Ki itifaki rais anatakiwa kuzikwa na ma rais wenzake, ukimpeleka VP ni kama umem slight.
Kiutamaduni na kidiplomasia kwenye kuzikana hatuendi hivyo.Namibia sio nchi muhimu sana kwa Tanzania kiuchumi au kisiasa. Kama sisi tuliwasaidia kupigania uhuru Rais wao ndio anatakiwa aonekane mara kwa mara Dar es Salaam na sio kinyume chake.
Rais kutosafiri kabisa nje ya nchi hakuna tatizo, mmojawapo wa Marais waliokuwa hawasafiri sana ni Ian Khama na Botswana iliendelea vizuri tu chini ya Utawala wake.Kwenye msiba mimi sina lawama.
Na hata hizo safari nyingine zinazoweza kuwa na tija, zikifanywa vizuri, siwezi kumlaumu.
Rais hatakiwi kutapanya fedha kwa safari zisizo na tija.
Lakini pia, rais si mwali ajifungie nyumbani tu.
Unaweza kulalamika rais kafanya safari ya kutumia dola milioni moja, ukasema hizo ni pesa nyingi sana. Lakini, kama hiyo safari imeleta faida ya dola bilioni moja, then it is justified.
Kuna namna ya ku balance kusafiri na kukaa ndani.
1. Safari ziwe na cost benefit analysis nzuri. Tujue rais anaenda kufanya nini, anaenda ku represent intetests gani za kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia.
2. Safari ziwe na uwazi. Tujue gharama, tujue sababu, tuweze kupima.
3. Safari ziwe na jumbe ndogo zinazolipiwa na serikali, zikiruhusu wajumbe wengine watakaoandamana na rais, kama wafanyabiashara walioidhinishwa, kuwa katika msafara wa rais, kwa kujilipia wenyewe gharama zote.
Mimi huwa namsema sana Magufuli, vibaya. Lakini, katika hili la tatu, Magufuli aliweza kudhibiti vizuri sana ukubwa wa jumbe za Tanzania hususan kwenye mikutano ya UN New York City.
Jumbe za Tanzania nje kabla ya Magufuli zilikuwa zinafanya kufuru.
Nakumbuka niliona ripoti moja ya TV ya New York City (local news), walifanya expose ya mabalozi wa nchi/ UN delegations za kiafrika walivyokuwa wanatanua kwenye hoteli za bei mbaya za New York City, na kufanya shoppings za kufa mtu.
Lakini, walitoa mfano mmoja mzuri wa ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri Augustine Mahiga ulivyokuwa mdogo na ulivyokaa kwenye hoteli za bei nafuu sana.
Tunaweza kufanya hizi safari kwa tija tukakataa rais kutokuwa na safari kabisa kwa upande mmoja na kusafiri sana kwa upande mwingine.
Tatizo moja naliona Tanzania tunakuwa sana watu wa "all or nothing at all".
Mtu kama Magufuli aliona tatizo la rais kusafiri sana, akatuletea tatizo lingine la rais ambaye hasafiri kabisa.
Mkuu kama nchi kwa sasa inatakiwa kuangalia sana mambo yetu kwa jicho la Uchumi, kama nchi tumeshawasaidia wengi sana kwa muda mrefu, pia hata kama ni mahusiano mazuri ya diplomasia kwa gharama na faida zipi. Niliona kuna wakati watu walipiga sana kelele kuhusu Magufuli kuimarisha Mahusiano na Morocco akipuuza mgogoro wa Sahrawi!Kiutamaduni na kidiplomasia kwenye kuzikana hatuendi hivyo.
Hutakiwi kusema "Msiba wa mdogo wangu si muhimu sana kwangu. Kama mimi nilisaidia kumlea, yeye ndiye anatakiwa kuja kwangu sana na si kinyume chake".
Hata kama yeye anatakiwa kuja sana kwako, hata kwenye msiba nako ushindwe kwenda?
Yani mnaweka nongwa rais kwenda kwenye msiba kweli?
How unTanzanian is that?
Kwanza kabisa, kila nchi iko tofauti hivyo kufananisha Botswana na Tanzania unaweza kuwa unafanya makosa.Rais kutosafiri kabisa nje ya nchi hakuna tatizo, mmojawapo wa Marais waliokuwa hawasafiri sana ni Ian Khama na Botswana iliendelea vizuri tu chini ya Utawala wake.
Mkuu kama nchi kwa sasa inatakiwa kuangalia sana mambo yetu kwa jicho la Uchumi, kama nchi tumeshawasaidia wengi sana kwa muda mrefu, pia hata kama ni mahusiano mazuri ya diplomasia kwa gharama na faida zipi. Niliona kuna wakati watu walipiga sana kelele kuhusu Magufuli kuimarisha Mahusiano na Morocco akipuuza mgogoro wa Sahrawi!
Ongea kwa data mkuu, Kikwete Alituachia sukari 1800 tu, Alivyoingia Magu cha kwanza tu Sukari ikapanda hadi 3000, na hapo Hakukuwa na chochote, tofauti na sasa ambapo mfumuko WA Bei Unaikumba dunia nzima.duuuu em toa uchizi umesomea ujinga shule, kwa magu atujawahi kuwa na mfumuko kama huu wala fedha kukosa thamani unashika ten kama buku sokoni, uo uchumi unaosema ni role ya watu wachache sio watanzania, wezii samia na watu wake wana tudhulumu haki zetu
Na still record za Mapato zinavunjwa hapo hapo kkoo, Mapato yanakusanywa Makubwa kuliko kipindi chochote toka upate uhuru, so kama hio dalili sijui utapata dalili gani.kariakoo kwa wakimbia kodii? apo sokoni kila nikidai risiti naambiwa sio lazima kununua apa nafukuzwa maduka karibu kumi toka mwaka juzi December till leo
Tatizo ni uadilifu wa hao wanaopanga hizo safari.Sidhani kama Rais anajipangia safari. Ana timu ya wataalamu wabobezi; mabingwa wa nyanja zote ambao hupanga safari zake. All options, possibilities, pros and cons; advantages and disadvantages zinakuwa zimezingatiwa by the time Rais anapokuwa anaelekea airport. Take that!
Mambo ni mengi muda ni mdogo mwacheni mama afungue nchi.Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya taarifa.
Kwa namna fulani, JF imekuwa ni injini ya utafutaji wa baadhi ya taarifa.
Sasa ni hivi; huyu Rais wetu tokea achukue madaraka, ameshakaa nchini kwa hata mwezi mzima [mmoja] bila kusafiri kwenda nje ya nchi?
Nauliza hivyo kwa sababu naona kama vile kila baada ya wiki mbili hivi huwa ni lazima asafiri kwenda nje ya nchi, jambo ambalo sidhani kama lina tija sana kitaifa.
Wajuzi nijuzeni, tafadhalini sana.
Sijui ulikuwa chaka gani!Wewe mwenye hoja yenye weledi itoe tusikie basi, sukuma gang mkubwa
Huenda hadi 2025 akavunja rekodi ya Vasco da Gama wetu Jk?. Wote hawa ni waswahili wa pwani🇹🇿😭😭Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya taarifa.
Kwa namna fulani, JF imekuwa ni injini ya utafutaji wa baadhi ya taarifa.
Sasa ni hivi; huyu Rais wetu tokea achukue madaraka, ameshakaa nchini kwa hata mwezi mzima [mmoja] bila kusafiri kwenda nje ya nchi?
Nauliza hivyo kwa sababu naona kama vile kila baada ya wiki mbili hivi huwa ni lazima asafiri kwenda nje ya nchi, jambo ambalo sidhani kama lina tija sana kitaifa.
Wajuzi nijuzeni, tafadhalini sana.
Tunaomba orodha ya hizo furusa za kiuchumi zilizotililika kama Maji....ili tutambe Nazo Mtaani.Usiangalie gharama linapokuja suala la kukutana na viongozi wenzako bali angalia tija ya vikao na ziara hizo itakayopatikana kwa Taifa lako. Ziara za Mh Rais zimeleta matokeo chanya sana kwa Taifa letu.imeifungua nchi yetu na sasa fursa za kiuchumi zinatiririka nchini kama maji ya mafuriko.
Umenikumbusha hili jina ..!!!Vasco