Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

Safari ikiwa ndefu zaidi kwa pikipiki mapafu yanaweza kuathirika kwa upepo/baridi na mwisho wake ukapoteza maisha (tahadhari). Hata kama unavaa koti zito pikipiki sio kwa safari ndefu kiasi hicho (kuwa makini)
We unatumia vitu vingapi vyenye madhara na unapuuzia
 
Boxer 150 inatumia lita moja kwa km 50 hadi 60, maana yake ikiwa umbali wa kutoka Dar hadi moshi ni km 800 basi boxer itahitaji lita 16 tu za petrol, yaani kwa harakahara tuseme ni lita 20 zinatosha kukufikisha umbali huo. Wewe ni muongo.
hizo litre za mafut ni kwa flat land kumbuka kuna milima na miinuko ming nimeipita then kuna seh seh nilipitia msata mombo na bwiko alaf litre 20 unazoziongelea kwa flat rate ni 40 tsh so piga hesabu vzur
 
Toa sifa zako za kijinga hapo.sasa safari zako zinatuhusu nini?haya na Mimi natoka home kwangu naenda kwa jirani
 
hizo litre za mafut ni kwa flat land kumbuka kuna milima na miinuko ming nimeipita then kuna seh seh nilipitia msata mombo na bwiko alaf litre 20 unazoziongelea kwa flat rate ni 40 tsh so piga hesabu vzur
Nimesema kwamba, Boxer 150 inaweza kwenpuda hadi 60km hiyo 50km ni pungufu tu. Milima kwenye barabara ya Dar - Kilimanjaro sio mikubwa na hata hivyo hata kama milima ingekuwa mingi bado haiwezi kuwa sababu ya boxer 150 kutumia lita zote hizo kutoka 20 litre ambazo zinatosha kukufikisha umbali wa 800km.
 
Boxer 150 inatumia lita moja kwa km 50 hadi 60, maana yake ikiwa umbali wa kutoka Dar hadi moshi ni km 800 basi boxer itahitaji lita 16 tu za petrol, yaani kwa harakahara tuseme ni lita 20 zinatosha kukufikisha umbali huo. Wewe ni muongo.
Kazingua hapo hakuwa na data za kutosha, je umemwaga hata oil maana safari ndefu
 
Acha utani. Mimi niliwahi toka Dodoma to Dar na HONDA XLR250 BAJA sitarudia. Na kwa hii pikipiki hiyo boxer 150 haifuati. Never risk your life my friend
Kwanin hutorudia mkuu?
Ulikutana na maswaibu gani njiani?
 
Umenikumbusha jamaa yangu alipiga DOM to MBEYA, kwenda na kurudi......alafu kafanya safari kama mara nne, ni kama ameshazoea. Hongera sana, maisha ni kuchagua
 
Boxer 150 inatumia lita moja kwa km 50 hadi 60, maana yake ikiwa umbali wa kutoka Dar hadi moshi ni km 800 basi boxer itahitaji lita 16 tu za petrol, yaani kwa harakahara tuseme ni lita 20 zinatosha kukufikisha umbali huo. Wewe ni muongo.
Dar - Arusha ni Kilomita 648 hizo 800 umezitoa wapi?
 
Your health is great asset.Usafiri wa boda wa muda mrefu uwezi sababisha matatizo ya nguvu za kiume na njia ya mkojo,pumbu kubinywa sana na ku kosa mzunguko mzuri wa Damu, neumonia, kichomi na ajali ni baadi ya madhara ya safari ndefu ya boda.
 
Safari ikiwa ndefu zaidi kwa pikipiki mapafu yanaweza kuathirika kwa upepo/baridi na mwisho wake ukapoteza maisha (tahadhari). Hata kama unavaa koti zito pikipiki sio kwa safari ndefu kiasi hicho (kuwa makini)
Makaburu kibao wanapiga South Africa to Kenya, njia kuu ya Mbeya-Moro tunawaona sana Mkuu ni kuwa na mavazi mazuri ya kuzuia upepo na kofia yenye kiwango maana jamaa ukiwaona walivotupia na pikipiki zao kama wanaanga wanaenda mwezini.
 
Watanzania tunapenda sana sifa, Je ni nani alikuona ukisafiri na Pikipiki hiyo? Ubungo, Kimara, Mbezi, hadi Kibaha, na kuendelea? Tuwekee vielelezo na vithibitisho vya safari yako.
Kwanini ujitese na safari ndefu hivyo, nini lililokuwa lengo lako?
Kumbuka, Watanzania sio watunzaji wazuri wa historia, hata issue ya Lugumi tumeisha isahau, usidhani tutakuja kuikumbuka safari yako

Mkuu hizo ni mbinu ya kutangaza biashara za Wahindi wa Bajaj wanao hunda Boxer, si amini kama safari hiyo ilifanyika - jamaa anataka kutufunga kamba.
 
Back
Top Bottom