Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

Ucha uongo....kwanza boxer haiwez fikia pikipik kubwa kama ..HONDA BAJA 6GEAR,YAMAHA au SUZUKI zenye rejeta au zenye propela...hako kaboxer km 300 kanachemka kanaiva..
 
Boxer 150 inatumia lita moja kwa km 50 hadi 60, maana yake ikiwa umbali wa kutoka Dar hadi moshi ni km 800 basi boxer itahitaji lita 16 tu za petrol, yaani kwa harakahara tuseme ni lita 20 zinatosha kukufikisha umbali huo. Wewe ni muongo.
Dar mpk Moshi ni km 800?unadhani ni Dar mpk Burundi nini mama.
 
hivi pikipiki kiafya inabidi usafiri kilometer ngapi?wajameni naomba mnisaidie.
 
Boxer unaweza kusafiri vizuri tu chamuhimu protective gears na umakini wako dereva. Kuhusu mafuta boxer kwa safari ndefu zinatumia lita 1 kwa 35km. Changamoto kubwa kwa safari ndefu ni wenye magari wengi unaopishananao wengi hawakujali wanaovertake kuja kwako wakiamini wewe ndio utakimbia sasa ni hatari sana coz brake za pkpk ukiwa spidi hasa boxer hazipo stable inaserereka tairi ya nyuma. Inataka umakini sana pia boxer inachosha sana kiuno kwa safari ndefu coz muda wote upo upright.
 
Boxer 150 inatumia lita moja kwa km 50 hadi 60, maana yake ikiwa umbali wa kutoka Dar hadi moshi ni km 800 basi boxer itahitaji lita 16 tu za petrol, yaani kwa harakahara tuseme ni lita 20 zinatosha kukufikisha umbali huo. Wewe ni muongo.
We jamaa kuwa mwelewa kdg. Mtoa mada kaulizwa ametumia mafuta YA SHILINGI NGAPI, na sio LITA NGAPI. Hta kma ni lita 20, kwa bei ya petrol ya sasa ni kweli akisema elfu 45. Kumbuka hajamaanisha lita 45, ila ni mafuta ya elfu 45 kma alivyoulizwa
 
Ucha uongo....kwanza boxer haiwez fikia pikipik kubwa kama ..HONDA BAJA 6GEAR,YAMAHA au SUZUKI zenye rejeta au zenye propela...hako kaboxer km 300 kanachemka kanaiva..
Kisha unakaunga mchuzi hahahahaha umeua mkuu eti kanaiva
 
siwalazimishi kuamini lakini nili iitumia coz nlikua nasimama simama na naingia ndani ndan kwene mashamba mkata mombo na bwiko nimelima
 
Acha utani. Mimi niliwahi toka Dodoma to Dar na HONDA XLR250 BAJA sitarudia. Na kwa hii pikipiki hiyo boxer 150 haifuati. Never risk your life my friend
ebu tupe kidogo bwanaa!! ulipata maswahiba gani na iyo HONDA yako
 
Wahindi wamekutuma ehhhh[/QUOTE
Wakulipe kwa promtion, halafu tunataka uthibitisho wa video. Zingatia kupiga picha hiyo registration na. Kila kituo. Weka alama permanent za utambulisho wa hiyo boxer. Ukiwa unaenda Mwanza usipite Ngorongoro na Serengeti utakuwa kitoweo.
Safari njema mkuu
 
Back
Top Bottom