Safari yangu mkula irrigation scheme

JE KM NAITAJI KULIMA KWENYE HIZO SCHEME NI HATUA GANI NIFUATE AU MASHARTI YAKE YAKOJE
Najaribu kufatilia na kufanya tafiti katika hizi Scheme ili kupata taarifa kamili na za uhakika,binafsi nipo Interested na hii ya Naming'ongo na nimefika so naifahamu vizuri, mana hizi Scheme zipo katika halmashauri tofauti chini ya Wizara ya maji,lakini zipo chini ya halmashauri husika hivyo miuongozo ya kulima inategemea na halmashauri husika ikihusisha Viongozi wa halmashauri,Wilaya, madiwani na ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

Nafasi kubwa wanapewa wanakijiji wa eneo la mradi kwa masharti nafuuu kisha ndio wanaruhusiwa Wawekezaji kutoka nje ya eneo la vijiji vya mradi.

Nitaleta hapa Mrejesho tukae mkao wa kula mana lengo langu hizi Scheme wapewe vijana wasio na ajira kwa Masharti nafuu waliojiunga katika vikundi na kufanya uzalishaji.

Na project ipo mezani kwa mkurugenzi,atakayekuwa tayari karibu kwa kuboresha wazo hope tutafanikiwa.
 
Back
Top Bottom