Irrigation Schemes ndo ukombozi wa kiuchumi Tanzania

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,931
3,227
Miundo Mbinu ya umwagiliaji ndio itakua mkombozi wa kiuchumi Tanzania

Irrigation scheme ndo zitachochea viwanda Tanzania

Shillingi imezidi kuanguka thamani kwa sababu no Export.. Tupunguze import za bidhaa ambazo tunaweza kuzalisha kama Shayiri, Ngano, Palm oil na Nguo

Serikali imeshindwa kuchochea biashara ya utalii...shangaa huu ndio msimu wa Utalii, FOREX nyingi zimeletwa lakini shillingi hoiiii

MNRT na Maghembe wanapiga propaganda kuwa watalii wameongezeka....Ukweli utajulikana tu

Kutegemea mvua pekee ni upumbafu mkubwa sana Watanzania.... Serikali imekalia tu Siasa za kuua upinzani.

Kutengeneza mabwawa ya kuvuna mvua ni gharama nafuu....ambapo mvua zikikatika kabla mazao hayaja komaa, mabwawa yatasaidia kutoa unyevu mpaka mazao yakomae

Mito na maziwa tunayo.

Mikopo wanakopa na hatujui inafanya nini.....

Irrigation schemes ijengwe sambamba na Barabara

Ajira kwa vijana itakuwa ndoto

Tanzania imekuwa ya mipasho Njaaa, njaa, njaaa
 
Back
Top Bottom